Recent content by justine sheddy

  1. J

    JamiiForums Tanzania je ninaweza chaguliwa CBG

    Nashkuru kwa maon yako
  2. J

    JamiiForums Tanzania je ninaweza chaguliwa CBG

    Thanks kaka lakin napenda sana cbg namachia MUNGU
  3. J

    JamiiForums Tanzania Huyu ndiye mtoto wa miaka 14 wa kitanzania anayetengeneza application za simu na kuwauzia nokia

    Kweli kabisa yy ni mtanzania asili tu ila mpango mzma Singapore
  4. J

    JamiiForums Tanzania je ninaweza chaguliwa CBG

    Dah nafeel better naona mwanga wa mafanikio
  5. J

    JamiiForums Tanzania je ninaweza chaguliwa CBG

    Nashkuru unanfungua akili na ufikiri wangu
  6. J

    JamiiForums Tanzania je ninaweza chaguliwa CBG

    Nashuru sana kwa kunitia nguvu ushauri wako ndo furaha yangu na matumaini yangu
  7. J

    JamiiForums Tanzania je ninaweza chaguliwa CBG

    Nashkuru lakin hiyo F ya math haiwez athiri
  8. J

    JamiiForums Tanzania je ninaweza chaguliwa CBG

    Habari zenu wadau mm ni mhitimuform 4 mwaka jana nikapata alama zifuatazo je nawezachaguliwa nkasome combi ya CBG Biolog-C. Chem-D geog-C english-B histor-C. Physcs-D. Civics-D Kiswa-D. Math-F. Naombeni mnisaidie
  9. J

    JamiiForums Tanzania justine

    Hellooooooooooooow.
Back
Top Bottom