Recent content by Justine Mitumba

  1. Justine Mitumba

    JamiiForums Tanzania Nawashauri vijana wasiogope kuanzisha hata biashara ndogondogo

    Kwa sasa ajira ni Changamoto nawashauri vijana wasiogope kuanzisha hata biashara ndogondogo muhimu uwe na malengo tu Kwa wale ambao wanatamani kufanya biashara ya mtumba ninatoa ushauri bure kabisa tunapatikana Ipogolo Iringa na Morogoro soko la chief kingalu ukihitaji nicheki inbox au...
  2. Justine Mitumba

    JamiiForums Tanzania Hili tatizo la ajira ni kubwa sana tukubali kuanza hata kwa mtaji mdogo

    Nawashauri vijana tukubali kuanza biashara hata kwa mtaji mdogo tafuta kizimba au sehemu mnadani omba bidhaa kwa mali kauli Ukihitaji ushauri zaidi ni Follow Justine mtasiwa au Justine mitumba.
  3. Justine Mitumba

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania BASATA yafuta kibali cha kampuni inayoendesha Shindano la Miss Tanzania

    Ahsante sana kwa taarifa
  4. Justine Mitumba

    JamiiForums Tanzania Biashara ya mtumba

    . Kutokana na changamoto za ajira nashauri vijana wale ambao hamna kazi mtumie mitandao ya kijamii vizuri tafuta mfanyabiashara anayekuamini mwenye uwezo wa kukupa mzigo wa mali kauli ukihitaji ushauri wa biashara ni FOLLOW Justine mtasiwa au Justine mitumba tunauza mitumba jumla na...
Back
Top Bottom