kaka unahitaji maombi wewe!!!usiongee kitu usichokijua,mimi ni mkazi wa igunga hapa,na bahati nzuri nimeudhuria mikutano yote kaka,mikutano ya chadema hakuna mtu aliyeletwa kwenye fuso wala tololi,watu wote walikuja kwa miguu yao wenye,na baadhi yao walifunga mpaka maduka yao na kwenda...