Huyu ni mwongo, kuoa siku hizi ni mpaka muonjane, hiyo sababu uliotoa ni ya uongo, kuwa mumeo hakufikishi kileleni, ulikubali ya nn kuolewa naye, wee sema tuu, ni mwingi wa habari hutosheki. Kinachokufaa kwa kweli ni talaka, asubuhi hii uanaanza hivyo, je akichoka kweli.