Kuwa na rafiki n stage huwez pata rafiki wa toka nitoke au shida na raha ktk aina ya thread umepata siwez judge umri wako ila rafiki n mahusiano bnafsi sikatai njia uliotumia waweza kupata ila wengi tulio mitandaoni n ndgu ktk mwamvuli wa Tanzania
Swala la msingi n set ur standard nn wahitaji...
Bongo ziko chache na shida wengi hawazijui vzur cost mostly bongo wanunuzi wa magari n kwa usafiri na show off wachache sanaa anaagiza au kununua gari na kujua undani ktk ubora na faults za gari husika but tuko buzy sanaa na maisha pia eboo🤣🤣🤣
Itakucost sanaa na gari inaweza isibehave unavyotaka sema labda kufanya delimit tu na kufanya modification ya throttle press 2gr inakula majesta Cc 3000 V8 very smooth yaani
Waweza kuwa umekurupuka pia hata ktk uandishi wako sa jini ktk gari wap na wap no hard fellings here bro hasira zako weka ktk kutafta pesa zitakusaidia mno
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.