Recent content by junior ziro-ii

  1. J

    JamiiForums Tanzania Kupendana kuna raha yake!

    Nielimishe kama unalifahamu mie linanisumbua sana hili neno, utasikia watu wazima wanasema "huu muwa tukatane"!
  2. J

    JamiiForums Tanzania Kupendana kuna raha yake!

    Kuna uhusiano wowote kati ya makosa ya sarufi za lugha (common errors in language) na viroba? Kweli aisifuye mvua imemnyea!
  3. J

    JamiiForums Tanzania Kupendana kuna raha yake!

    Mwenye neno sahihi la sarufi ya kitenzi cha neno hili atujuze!
  4. J

    JamiiForums Tanzania Kupendana kuna raha yake!

    Ha ha ha haaaaa....hii ndiyo lugha yetu!
  5. J

    JamiiForums Tanzania Kupendana kuna raha yake!

    Eti mtu akikupenda na wewe ukimpenda si MNAPENDANA? Na akikuheshimu na wewe ukimheshimu si "MNAHESHIMIANA"? Na kama akikusaidia na wewe ukimsaidia si MNASAIDIANA? Na akikupiga na wewe ukampiga si "MNAPIGANA"? Sasa je, Akikutii na wewe ukimtii jibu lake itakuwaje?
  6. J

    JamiiForums Tanzania Kabila/mikoa ipi hawatumii "shikamoo"?

    Haaa...kweli?
  7. J

    JamiiForums Tanzania Kabila/mikoa ipi hawatumii "shikamoo"?

    Nimeenda ktk mkoa fulani na kukutana na kali ya mwaka baada ya kumsalimia mtu aliyenizidi umri "shikamoo" naye kanijibu shikamoo na mimi kuduwaa kwa kushindwa nijibu nini...! Je, kuna mikoa au jamii ambayo hawajui au kutotumia kabisa hii salamu?
  8. J

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti anapotoa chupi kufuta jasho badala ya leso!

    Anaamini na inawezekana ndiyo wenyeviti wenyewe, labda anashangaa hii thread kufika humu...imemgusa japo hahusiki!
  9. J

    JamiiForums Tanzania Anadai eti niende kwa wazazi wake kwanza ndo anipe, ..

    Kumbe wengi yanawakuta, nilidhani kwa7bu mimi ziro?!?
  10. J

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti anapotoa chupi kufuta jasho badala ya leso!

    Siku moja kulikuwa na mkutano wa kijiji, mwenyekiti (jina limehifaziwa) alipata dharula kidogo akawa amechelewa kufika wakati wananchi wanamsubibi akahutubie yaliyojiri kama kiongozi! Kutokana na kuchelewa huko akiwa nyumbani kwake akijiandaa, alichukua leso yake ktk kamba wanayotundika nguo na...
  11. J

    JamiiForums Tanzania hivi uchawi kwenye mapenzi upo?

    Ukiamini kutokana na hofu ya vitisho vyake umeumia!
  12. J

    JamiiForums Tanzania Kama ni wewe, mtu huyu utamfanya nini?

    Nimewakilisha matukio ya jamii ktk maisha ya kila siku kwenye mahusiano ya mapenzi pia ni mambo ambayo yapo, pengine wapo waliopata maumivu zaidi ya hayo niloyasema. (viwango nilivyoweka si rasmi)
  13. J

    JamiiForums Tanzania Kama ni wewe, mtu huyu utamfanya nini?

    Mizunguko ya town tax-tsh. 45,000/- Vinywaji-48,000/- Dinner-25,000/- Mchemsho wa bata-12,000/- Vocha-10,000/- Shoping ya-190,000/- Umelipia LODGE-35,000/- Anakuangalia usoni anakwambia nipo kwenye.....Je, kama ni wewe utamfanyeje?
Back
Top Bottom