Rais hachaguliwi na ng'ombe, uchaguliwa na watu. Lowassa ana watu ndio maana yupo hapo na kasindikizwa na watu wanaoingia kwenye vikao vya maamuzi. Mtaji wa ushindi ni watu na Edward anakubalika na watu na ambaye hautaki basi kale malimau.
Ng'wamapalala
Ndio matatizo ya wasiojiamini. Umeleta hii hoja kusudi uhurumiwe? Lowassa na timu yake hawana wasiwasi wowote na kazi yao nzuri wanaimalizia tarehe 12/07/15, acha kuogopa kivuli chako
Edward Lowassa alitimiza dhana ya uwajibikaji kisiasa na hakuwa na kosa lolote na hadi sasa hana kosa lolote.
Mwakyembe, Sitta na kundi lao walipika ili kumharibia tu ndio maana sasa hivi wanataka kujikosha kwa kutumia mwamvuli wa bunge lkn Mungu mkubwa Lowassa wananchi wamemsimamia na kuona ule...
Utakatifu gani unaouamini wewe? au ndio kukopi semi na kuzileta humu.
Kama ni utakatifu je, waliopo sasa watakatifu? acheni upuuzi wenu, Lowassa amewapiga bao ndio maana mnaanghaika tu na vimaneno vya kukopi.
Naamini wote mmechelewa na hii debate haina mashiko tena. Lowassa ndio jembe la kukivusha chama na na kuitoa nchi kwenye lindi la umasikini totoroooo, na kama mmelilijua hili basi anzisheni bunge lenu tuwasikilize kuliko kukopi upuuzi huo.
Hivi nyie kati yenu nani msafi? Naomba asimame na aseme...
Mbona waliokwapua pesa za Tageta ESCROW pale stanbic hamsemi au zile sio pesa ni makaratasi?
Ni vigumu kuzuia vita vya bunduki kwa jiwe, Lowassa ndiye kiboko yao na urais ataukwaa tu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.