Hello.Hauhitaji kulipia gharama yeyote ile, unachotakiwa kufanya ni kuwapigia simu au kutembelea tawi la benki na kuwapatia taaarifa fupi zitakazothibitisha kuwa wewe ndio holder halali wa hiyo account na hapo utakuwa tayari umemaliza na watakupatia taarifa za account yako. Kwa kuongezea unaweza...
Kaka Usikate Tamaaa, wala usijipe kichwa Kuuma&Dont ever Mind those who are here to Disappoint you, Cha Msingi vuta Subira Watu wa Masoko watakupa muongozo mwema ni wapi Uanzie kwenye kufanikisha Hilo...Hii ndio Jamii forum we Believe in Here..mambo mengi Yamewezekana through hapa...Just wape...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.