Wale wadau wa DIT,CBE Dar campus,IFM,Tumaini Dar campus na TEKU Dar campus, Hostel nzuri na ya kisasa ipo maeneo ya Lumumba, special kwa wanaume pekee, maji na umeme wa uhakika, ulinzi wa kuaminika, vipo vyumba vya watu wanne, watu sita na
Watu nane, kodi kwa mwezi ni elfu hamsini tu. Karibuni...