Recent content by Jumjum kapo

  1. Jumjum kapo

    JamiiForums Tanzania Usimchukie mwanamke anayekukataa

    Kabisa kaka hilo ni swaa muhimu..kuna demu nilimtongoza mwaka mmoja uliopita alinikataa cha kushanganza sasa hv yupo kwenye matatizo eti ananitaka tena .. Nikataka nichakate mbususu yake lkn nkaona ntazoa nuksi na mikosi bure..Japo kuwa mbususu ni nyeupe sana ..ila khaaa..hapana unaweza chakata...
  2. Jumjum kapo

    JamiiForums Tanzania Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Katika Hali ya kawaida sisi wanawake huwa tunakua na hisia kuna muda unajikuta tu umegawa penzi kwa mshkaji bila sababu yeyote.. Binafsi kuna siku nilikua nimevurugwa sana na maisha huku mapenzi nateswa sasa kuna mkaka mmoja Nilikutana nae kwenye bajaji zile za Kuchangja nauli Katika...
  3. Jumjum kapo

    JamiiForums Tanzania Nitamjuza vipi rafiki yangu bila kumkwaza, kwamba akivua viatu chumba kinajaa harufu mbaya?

    Wacha mambo ya ajabu mzee,..Imani za hovyo mno hapo mtu Avae kiatu original tu kesi imeisha
  4. Jumjum kapo

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli ukikutana na Mke au mpenzi wa maisha yako lazima Utafeel chochote?

    Kwakweli haikatai[emoji23][emoji23][emoji23]..yani unajua kabisa mzigo wenyewe ngoja tuone basi
  5. Jumjum kapo

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli ukikutana na Mke au mpenzi wa maisha yako lazima Utafeel chochote?

    Hapo kwnye kuendana mnaanzia wapi
  6. Jumjum kapo

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli ukikutana na Mke au mpenzi wa maisha yako lazima Utafeel chochote?

    Wengi waliooa au walio kwenye mahusiano yenye milestones..Mara nyingi utawaskia wanasema Nilivyokutana nae tu nilihisi kitu kuhusu yeye n sikutumia nguvu yeyote nilijikuta nipo nae.??? Ebu tupe Experience yako binafsi ;maana wengine huwa tunatumia nguvu tembo matokeo sisimiizi au ndo bado...
  7. Jumjum kapo

    JamiiForums Tanzania Nimeamini mwanamke akikukataa wala usimpotezee, wewe mpe muda utakuja kupiga vizuri tu

    We jifanye humjali Lkn unamjali kwa matendo
  8. Jumjum kapo

    JamiiForums Tanzania Nimeamini mwanamke akikukataa wala usimpotezee, wewe mpe muda utakuja kupiga vizuri tu

    Type yako mnaumizwa vibaya demu apewi moyo weka roho ngumu roho chafu
  9. Jumjum kapo

    JamiiForums Tanzania Nimeamini mwanamke akikukataa wala usimpotezee, wewe mpe muda utakuja kupiga vizuri tu

    Sasa mkuu ukiona umepewwa finger tu ujue shimo Lipo karibu we endelea kujifanya utaki au mzingue..kama umemind tunasema “Place the blame and Be incharge” Ukiwa incharge unaamua wewe ufanye nini
  10. Jumjum kapo

    JamiiForums Tanzania Nimeamini mwanamke akikukataa wala usimpotezee, wewe mpe muda utakuja kupiga vizuri tu

    Kaka ndo kilichonikuta sasa anakua adui yangu ety
  11. Jumjum kapo

    JamiiForums Tanzania Nimeamini mwanamke akikukataa wala usimpotezee, wewe mpe muda utakuja kupiga vizuri tu

    Nililipa bolt si ameona Aibu nikimpa hela atakua kama anajiuza
  12. Jumjum kapo

    JamiiForums Tanzania Nimeamini mwanamke akikukataa wala usimpotezee, wewe mpe muda utakuja kupiga vizuri tu

    Kaka mwezi umekata m Mzima hata siumwi chochote niko imara [emoji23][emoji23]ya nini kujtia presha
Back
Top Bottom