Recent content by jumer84

  1. J

    Wanaotaka kuandamana kesho HESLB soma hapa

    Mungu awatie nguvu kwani najua ipo siku utafika hapo unapotaka kufika kazi shida kupata mikopo nayo shida ni bora kazi ikawa ngumu lakini watanzania wakapata elimu nzuri na kwa wakati sahihi ili kuweza kukomboa nch katika nyanja mbalimbali cjapenda loan board walichowafanyia watanzania wenzangu...
  2. J

    Wanaotaka kuandamana kesho HESLB soma hapa

    Kaka kwanza poleni sana kwani maisha ya chuo c mchezo kwa sisi tuliyipita miaka hiyo kidogo,mimi nilishangaa sana vigezo ambavyo vilitumika kwani wengi waliyopata baadhi yao hawakustahili na waliyonyimwa kwa vigezo kiufalme jua ndiyo hasa baadhi ambao ni wengi walistahili kupata,kweli nchi hii...
  3. J

    Ligi Kuu Tanzania Bara, Raundi ya III: 4-5 Oktoba 2014

    Yangaaaaaaa hiyoooooooooooo
  4. J

    Maswali na ushauri kwa Malinzi

    Big brother is back nimependa sana LAVEDA tz
  5. J

    Tunapowalaumu polisi wetu, Ni vema pia tukakumbuka ukweli huu

    Polisi mnawaonea bure kwani jukumu la kulinda raia wamekabidhiwa wao kisheria wanachofanya ni kwa mujibu wa sheria mama,lazima wafuate amri ya viongozi wao kwani bila hvyo ingekuwa tabu zaidi kwani kila askari atafanya mambo yake tu bila kufuata taratibu za kazi!ebu tukae na kutafakari kama...
Back
Top Bottom