Recent content by JUMATATUONE

  1. J

    Nahitaji kununua nta mkoa wa Tabora

    NAHITAJI KUNUNUA NTA MKOA WA TABORA, MWENYE UWEZO WAKUNIUZIA KUANZIA KG 20 NA KUENDELEA, AWASILIANE NAMI MWENYE BEI NZURI ATAKUA NA UHAKIKA WA SOKO LA KUDUMU.
  2. J

    Natafuta soko la asali na nta

    Hellow, habari yako, Mimi ni Mjasiriamali Mgunduzi.niatumia wax kama raw material kufanya kazi yangu.tafadhali nahitaji nkujua upatikanaji wa Nta na wingi wake,pia nahitaji nkufahamu kuhusu bei ya ujumla hapo na ikiwa utasafirisha kwenda mikoa ya pembezoni mfano Mwanza.mawasiliano yangu...
  3. J

    Jenerali Ulimwengu: Huu ndio mwanzo wa kifo cha CCM kilichobashiriwa?

    Nafikiri tusichukue afya ya mh lowasa kama sababu ya kukosa sifa ya kuongoza nchi, kwakua binafsi naamini kuwa serikali itakayoundwa mwaka huu itakuwa ni team, pia lowasa ni mtu wa principles na safari za mara kwa mara nje ya nchi hazita kuwepo maana taifa linakuwa restored. atakuwa karibu na...
  4. J

    Nauli za treni ya Deluxe kuanzia Aprili 01, 2015 Dar-Kigoma/Mwanza

    Sasa jama naomba kujulishwa vyema, Hii ya kulala 77,800 nimeambiwa ni vyumba. na kila chumba kina vitanda 6. Je! kila kitanda ni 77,800???? au chumba ndo bei hiyo? maana kuna u lakshari gani kama ndani ya chumba kimoja mabei ya ajabu na ni changanyikeni?? wawe wazi kwakweli. kama kila kitanda ni...
  5. J

    Tatizo la ulevi Rombo: Wanawake wakodi wanaume kutoka Kenya kufanya nao ngono

    Bali nakushauri unapotaja wachaga zingatia maeneo na aina ya wachaga. HAWA victim ni WAROMBO.unaposema wachaga wote unakosea. Mchaga WA uru marangu,au kilema umeskia nini kutokakwao cc. Asprin
  6. J

    Serikali, kuhusu kuwasaidia vijana kiajira je mmefanikiwa kwa kiasi gani?

    napenda kujua kutoka KWA serikali na pia wenzangu humu ndani, nakubali kuwa ilianzishwa programme ya kufundisha vijana Ujasiriamali na kutakiwa kuunda vikundi ili tukopesheke. swali langu NI je? tupo wengine ambao hatujafundishwa Ila NI wabunifu WA mambo makubwa yanayohitaji ubia na viwanda nje...
  7. J

    Katika wale Majambazi waliodakwa, mmoja katoka kuvisha Pete ya uchumba

    NI kweli Ila kwakua haina kiporo, namshauri Dada a withdraw na aendelee na mambo yake. kija na ana nguvu na viungo vyote anaacha kutafuta kazi zenye staha, ona sasa!
  8. J

    Walio husika na operation tokomeza ujangili

    :spit:Ni muhimu jmbo hili likapewa uzito wa pekee
Back
Top Bottom