Habari TANESCO.
Nawashukuru kwa majibu yenu na kwa kufuatilia suala langu. Napenda kuwafahamisha kuwa baada ya malalamiko yangu kuwafikia, hatimaye siku ya Jumatano, ya, tarehe 26/08/2026, niliunganishiwa umeme.
Baada ya kuunganishiwa, tatizo lingine lilijitokeza kwenye mita. Mita ilionyesha...
TANESCO
Niliomba huduma toka mwezi 1-2026 mpaka sasa huduma hamna, hivi ni kwanini mnakuwa na maneno matam ila kwenye vitendo ni 0? Kuhusu ombi langu la kuunganishiwa umeme. Mchakato wa ombi langu ulianza tarehe 27/01/2026, ambapo niliwasilisha maombi ya kuunganishiwa umeme mara baada ya kuona...
Asante sana mkuu kwa maswali yako na kwa kushiriki uzoefu wako.
Kwa upande wangu, kabla ya safari nilikagua pikipiki mchana na hata usiku kabla ya kuanza safari ya asubuhi ili nijiridhishe kuwa kila kitu kiko sawa. Chombo hakikuwa na hitilafu yoyote ambayo niliweza kuiona.
Baada ya ajali...
AJALI NILIYOIPATA NJIANI: SOMO KWA MADEREVA WOTE
Utangulizi
Tarehe 15/06/2026 ni siku ambayo sitaisahau kwa urahisi katika maisha yangu. Nilipata ajali ya pikipiki katika eneo la Butinzya nikiwa safarini kuelekea Ushirombo kutoka Katoro.
Kilichonishangaza zaidi siyo ajali yenyewe, bali mazingira...
Naomba ushauri na kueleweshwa kutoka kwenu wana-JamiiForums wenye uzoefu au uelewa wa masuala ya umeme ukinunua nguzo (TANESCO). Ninaishi Katoro eneo ambalo naishi kwa muda mrefu halikuwa na umeme. Mwaka huu 2026 mradi wa umeme umefika, nguzo zimepandishwa na nyaya za msongo wa chini...
Ndugu na mdau wa jukwaa hili ninatumia nafasi hii kuwasilisha wazo langu la biashara kwa mwaka huu wa 2026, nikiwa na matumaini ya kupata mrejesho, ushauri wa moja kwa moja, na hasa mawasiliano ya wadau wanaohusika na uuzaji wa mashine za kuoka na kukanda unga.
Nina mpango wa kuanzisha biashara...
Na: Jumanne Mwita
Leo tarehe 12/11/2025 nimesimamishwa kazi.
Sio kwa sababu nilichelewa kazini, wala kwa kosa la kitaaluma — bali kwa sababu nilichapisha au nili "screenshot" chapisho la mtu mwingine lenye mtazamo wa kisiasa. Chapisho hilo halikuwa la matusi, halikuhusiana na kazi yangu...
Itakuwa kila sehemu kuna pikipiki pendwa hapa nilipo hizo unazosema hazina soko na hawazileti wafanya biashara, wanaleta kitu kinachoenda kwenye mzunguko wao hizonunazosema Dar es Salaam zinabei kama ulivyosema siyo maeneo yote
Wakuu,
Naomba mnisaidie au mawazo yenu pia, nilikuwa na lengo la kwa muda sasa la kununua pikipiki aina ya Sanlg kwa sababu ya shughuli zangu na sababu za kupoint SANLG ni kampuni inayotoa Product nzuri kwa pikipiki zenye hekaheka kubebea mizigo n.k ni vumilivu sana. Nilipanga nichukue mwezi wa...
Nimeona ujumbe wako kuhusu kutengeneza platform, website au app, na nimevutiwa na ujuzi wako.
Nahitaji mtu atakayetengeneza blogu ya habari pamoja na platform ya matangazo ya ajira.
Kama upo tayari, tafadhali wasiliana nami muda wowote ili tujadiliane kuhusu mahitaji na hatua za kazi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.