Recent content by Jumaki50

  1. Jumaki50

    Rais Magufuli aachane na Kauli za 'Kihuni' tafadhali

    Kauli za Makofuli siyo za kupaka mafuta Kwa mgongo wa chupa , Makofuli ni open man , kama unapenda kulishwa pipi , kuwa Kwanza ndipo uje kwenye nyuzi, Unavyo sema taifa la heshima ueleweki Kwa waelewa , suti na taratibu za Uingereza , siyo hadhi ya Ujerumani , Heshima ya mtu ni kazi . Huyo...
  2. Jumaki50

    Shaka: Lissu si mkweli, Abeid Karume, Dr. Kleruu na Mahinda walishambuliwa kwa risasi

    Dr Kileruu alishambuliwa na Mwamwindi Kwa kosa la Dr Kileruu kumtusi Mwamwindi vilevile Mwamwindi alinyogwa , kuusu Karume ilipangwa ndiyo maana hata wewe ujui historia hiyo unaaminishwa kwamba aliuliwa na wapinga mapinduzi
  3. Jumaki50

    Tundu Antipas Lissu hujaanza leo kulichafua taifa hili

    Unafiki ndio utakao taifa hili , sitakuwa mnafiki wala kujikomba
  4. Jumaki50

    DPP Tupilia mbali kesi zote za madawa ya kulevya zilizotengezwa na RC na Kamanda Sirro

    Si hayo tu atueleze Ben saa nane yupo wapi , kwaani ameoneka ni mafia sana , anatumika kudhuru watu , kama alivyofanya kwa warioba , kuna pazia kubwa kati yake na watawala wakubwa
  5. Jumaki50

    Lema: Mh. Rais, Vyama vya siasa sio uadui

    Kwa ubanguzi ulivyo kwa sasa kuna haja ya Mikoa minne kupata uhuru wake , ambayo ni KILIMANJARO ,MARA , MANYARA NA ARUSHA KWANI WANA PATO LA KUTOSHA NA AMBAZO HAZIISHI , KAMA VILE MILIMA MARU NA KILIMANJARO , MBUNGA NZURI NGORONGORO, MANYARA , SERENGETI , MADINI MENGI ,KM TANZANITE N.K
  6. Jumaki50

    Fake news: Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) laomba radhi kwa kupotosha umma

    ni kawaida ya TBC kutangaza fake news, TBC ilikuwa ya ukweli enzi za tido
  7. Jumaki50

    Ndugu, jamaa na marafiki njooni tumtetee Makonda dhidi ya mapapa wauza unga wanaomzushia

    kupambana na dawa za kulevya ni sawa sawa na kupambana na kuua inzi , inaitaji uelewa na busara , kwani mimi ya mwenzi Mungu uwezi kuiangamiza yote, kwani ni dawa vilevile .
  8. Jumaki50

    Nape, usipolichukulia MwanaHALISI hatua utakuwa una chuki binafsi

    Neno uchocheze ni nenolinalo tukumbusha Enzi za makaburu South Africa , walilotumia kuwagandamiza weusi, sasa linatumiwa Tz kugandamiza uhuru wa mawazo , epuka kufuata mgandamizo wa utawala
  9. Jumaki50

    Baada ya mama yake kuteuliwa, Ridhiwani asema "ni mwanamke wa Shoka"

    Wanawake wa shoka wapo wakali kumzidi huyo, hapo ni kubebana na fadhila tu hakuna jipya , au ni uonga ktk uongozi .
  10. Jumaki50

    Ushauri, Maoni, Mapendekezo na Pongezi kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar, Paul Makonda

    sema Mtanzania nipo nyuma yako, badala ya watanzania , mimi siwezi kuwa nyuma ya kipofu , mbumbumbu mwenye vyeti feki asije akanitumbukiza shimoni
  11. Jumaki50

    Mwaka 2019 ipigwe kura ya maoni, Rais Magufuli aruhusiwe akae hadi 2035

    Hoja yako utaikana kabla ya 2020 , utakapo tokewa na adhari za maagizo yake
  12. Jumaki50

    Deutch Welle yaanza uchochezi

    DW ni waelewa, wanauwezo wa kureason mambo . Siyo washabiki tu bila kupembua mambo , kuna mambo raisi anafanya vizuri sana , lakini vile vile kuna mambo anakose sana , hapa tanzania wanawefunga midomo ya kukosoa , unategemea hata ulaya ana uwezo wa kuwafunga mdomo , wewe mtoa mada ufuatilii...
  13. Jumaki50

    Agizo la Rais halina mjadala wala marekebisho

    Yeye ni binadamu tu kama sisi , kila mtu atakufa , Ni bora nikafa kifo chenye kumbukumbu kama soweto inavyo kumbukwa , kuliko nikawa na mtawala anaye tumia kila jambo amri , Tanzania ni nchi huru , na kama siyo huru basi tuutafute uhuru , mimi nitakuwa mstari wa mbele September 1 ,ili niwe wa...
Back
Top Bottom