Nawapigwe tyu,,huez fanya jambo la aibu katika jamii yet unataka watoto wasimamishwe shule kwa upumbavu wake,nabado ikiezekana akionekana tyu eneo la shule kichapo ashushiwe teiiina
Mungu Ailaze Roho Yake Mahali Pema Peponi Ameen..
Kiukwel Jamaa alikua na penz la dhat kwa huyl bint ambae amemtenda lkn yote maisha kuna maisha baada ya Kifo.Ila Pia hakika huyo dada lazima atakuja umizwa moyo kama alivyo mfanyia mwenzie.THAT IT.LOVE LOVE LOVE LOVE LOVE has ruined the WORLD
Sasa weye wasema mlalahoi itakusaidia!
We wahisi itakusaidia nini kama kubadilisha pesa watu wanabadili hakuna sheria inayo mkataza mtu asibadili pesa zake.Kama huna huna tyu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.