Recent content by Jumaa Mkela

  1. J

    Kaspersky ant-virus

    Naomba msaada kwa anaye faham jinsi kureactivate kaspersky anti-virus baada ya kubadili OPERATING SYSTEM(Window) maana nimefanya kila ninachokijua ila imegoma na kabla ya hapo nilikuwa naitumia pasi na tatizo lolote na imebakiwa na siku 238 hadi kuisha muda wake wa kutumika.
  2. J

    Anatafuta Kazi ya Hotel Management

    Naomba msaada kwa yeyote mwenye taarifa za ajira za HOTEL MANAGEMENT naomba anisaidie kwa sababu kuna mdogo wangu wa kike anaitwa Ivana anatafuta kazi, ana umri wa miaka 20 na amehitimu ktk chuo kiitwacho WESTERN COLLEGE kilichopo mnazi mmoja tuwaliane kupitia namba 0714882812 au 0765397766 au...
  3. J

    Kesho wanafunzi wa chuo kikuu cha dar es salaam wanaanza mgomo rasmi.

    Kiukwel inaumuza sana dada zetu wanazaririka kwa kukosa fedha za kujikim so nawatakia mafanikio mema ktk maandamano hyo ila tu yawe ya aman.
Back
Top Bottom