Recent content by Juma4 Creative

  1. Juma4 Creative

    JamiiForums Tanzania Swali lolote kuhusu mambo ya upande wa pili (kiroho)

    Ok mkuu, ni Meditation ipi ni nzuri na inafanikisha hayo kati ya zile ulizokwisha fundisha? Na waweza kumiwekea link?
  2. Juma4 Creative

    JamiiForums Tanzania Swali lolote kuhusu mambo ya upande wa pili (kiroho)

    Mambo vipi mkuu, eti ni njia ipi rahisi na isiyo na madhara ya kwenda Future au kurudi past?
  3. Juma4 Creative

    JamiiForums Tanzania Msaada juu ya hawa watu wanaojiita USAFIS immigration services

    [emoji16] [emoji16]
  4. Juma4 Creative

    JamiiForums Tanzania Msaada juu ya hawa watu wanaojiita USAFIS immigration services

    Habari za leo ndugu zanguni Mimi naomba niende kwenye mada bila kupoteza muda, Nituma Application za Green Card mwaka 2013. Sasa Mwezi huu wa kumi nimekuwa nikitumiwa na hawa USAFIS Ujumbe kwenye email yangu kuwa nimechaguliwa, na kupewa maelekezo kuwa nilipie 15$ for Single or 30$ for family...
Back
Top Bottom