Mi naomba kuuliza tu....Amesema watu wamekwamnia Account yako imekuwa hacked.... yani badala ya ww kujua imekuwa hacked hao waliojua wamejuaje kwani naamini hata wewe unaakili timamu unaweza kupost ule ujumbe....Ila ok mi nashukuru kwa kuukana siasa za kipuuzi hizi zakuwalisha watu maneno na ku...
Mi naomba niwaambie kwani wanaposema tunajenga kwa hela zetu wenyewe si wanamaanisha sio za msaada mana hata kama watakopa watazirudisha na hapo tutakuwa tumetumia chetu na sio za wahisani
Halafu unajitukana mwenyewe ujue hebu tuulizane lowasa,sumaye,Ester Bulaya,Lembeli n.k walikitumikia lini chadema mpaka wengne mkawaweka kwenye kamati kuu
..Kijana shupavu mwenye mawazo au fikra jenga nchi au tuseme kizazi cha baadae kaja na wazo kama hili..mi naomba Yericko utambue sie ambao hatupo kwenye siasa moja kwa moja mnatukatisha tamaa kwa fikra mbovu kama hzi kuwa upande fulani sio njia ya kukalia ovu lililo upande huo,mathali Bashe na...
Kutokana na taarifa ya hivi karibuni ya UKAWA(CHADEMA) kuwa hawatashiriki uchaguzi mdogo wa majimbo na kata.
Je, ni kipimo cha ukomavu wa CHADEMA au wamekosa njia au fikra mbadala kupambana CCM na hali ya siasa ya sasa nchini na je vipi kwa Nyalandu aloacha kila kitu na kuleta nguvu upinzani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.