Recent content by Juma Uledi News

  1. J

    JamiiForums Tanzania DTB tanzania yatoa msaada wa vifaa tiba katika hospitali ya rufaa ya Amana

    Mkurugenzi wa fedha wa DTB Tanzania, Joseph Mabusi (wa tatu kushoto) akimkabidhi Kaimu Mganga Mkuu wa Hospitali ya Amana, Dkt. Amim Kilomoni baiskeli za wagonjwa ambapo pia walikabidhi vifaa tiba mbalimbali ikiwemo ni pamoja na magodoro, plasta na vifaa vingine vinavyotumika kwenye upasuaji...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Benki ya DTB yaibuka na ushindi wa 3-1 katika ligi ya mabenki

    Kwa akili yako ndogo naona aibu hata kubishana na wewe. Kwaheri
  3. J

    JamiiForums Tanzania Benki ya DTB yaibuka na ushindi wa 3-1 katika ligi ya mabenki

    Una Uhakika na maneno unayosema au unaropoka tu?
  4. J

    JamiiForums Tanzania Benki ya DTB yaibuka na ushindi wa 3-1 katika ligi ya mabenki

    Mchezaji wa timu ya Soka ya Diamond Trust Bank (DTB), Murshid Ally (mwenye jezi ya rangi nyekundu) akiwania mpira na mchezaji wa Benki ya Afrika Tanzania (BOA) Hussein Rajab katika mchezo wa ligi ya mabenki inayotambulika kwa jina la ‘brazuka kibenki’ ambayo inaendelea hivi sasa. DTB iliibuka...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Diamond trust bank excels in inter-bank basketball competition

    Diamond Trust Bank’s Boaz Nsagarufu controls the ball before shooting during the 2018 interbank tournament held at Spider’s Court which is located along the Barack Obama road in Dar es Salaam over the weekend. DTB bank won the game by 67 points while Azania Bank got 26 points. Diamond Trust...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Good food afrique targets to promote agro-processing for industrialization

    Juliana Mataba, CEO of Good Food Afrique addressing a meeting while in the US recently. Dar es Salaam. As we mark this year’s World Food day with the slogan ‘Zero hunger’ which is goal number 2 on the sustainable development goals (SDGS) Good Food Afrique is specializing in promoting...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Rotary Dar marathon 2018 yavunja rekodi ikiadhimisha miaka 10

    Baadhi ya wanariadha wakishiriki katika mbio za kumi za Rotary Dar Marathon 2018 ambazo hufanyika kila mwaka jijini Dar es salaam. Zaidi ya watu 15,000 walijitokeza jana jijini Dar es Salaam kushiriki katika tukio la mwaka huu ambapo mbio hizo ziliadhimisha miaka 10 tangu kuanzishwa kwake. PICHA...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Mbio za rotary Dar marathon 2018 hizi hapa

    Zitaanzia THE GREEN, Oysterbay Dar es salaaam na kuishia hapo hapo.
  9. J

    JamiiForums Tanzania Mbio za rotary Dar marathon 2018 hizi hapa

    Mwenyekiti wa kamati ya maandalizi ya mbio za Rotary Dar, Catherinerose Barretto (kushoto) akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) katika mkutano uliofanyika jana (Oktoba 02, 2018) jijini Dar es Salaam kutangaza rasmi maandalizi ya mbio na matembezi ya hisani ya Rotary Dar...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Mbio za rotary Dar marathon 2018 zapiga hodi

    Mwenyekiti wa kamati ya maandalizi ya mbio za Rotary Dar, Catherinerose Barretto (kushoto) akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) katika mkutano na waandishi wa habari (hawapo pichani) uliofanyika leo (Oktoba 02, 2018) jijini Dar es Salaam kutangaza rasmi maandalizi ya mbio na...
  11. J

    JamiiForums Tanzania BENKI YA DTB YAKABIDHI JENGO LA VYOO KWA SHULE YA MSINGI UKONGA

    Diwani wa Kata ya Ukonga wilaya ya Ilala jijini Dar es salaam, Jumaa Mwipopo (katikati) akikata utepe kufungua rasmi jengo la vyoo lililojengwa kwa hisani ya benki ya Diamond Trust Bank (DTB) kwa ajili ya Shule ya msingi ya Ukonga kwa jumla ya kiasi cha shilingi milioni 48, katika hafla...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Rotary Dar Marathon yaadhimisha miaka kumi ya kubadilisha maisha

    Mwenyekiti wa kamati ya maandalizi ya Rotary Dar Marathon, Catherinerose Barretto akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa hafla ya kutangaza maandalizi ya mbio na matembezi ya hisani ya Rotary Dar iliyofanyika wikiendi hii jijini Dar es salaam. Mashindano hayo yanatarajia...
  13. J

    JamiiForums Tanzania BENKI YA STANBIC YAZINDUA KAMPENI YA ‘ZAIDI YA BENKI’

    Benki ya Stanbic Tanzania imezindua kampeni maalumu kwa ajili ya chata yake, yenye kauli mbiu isemayo “Zaidi ya Benki”, ikijitofautisha na taasisi nyinginezo kwa kuwa benki yenye kugusa wateja wake kwa kutoa huduma na bidhaa zenye kuwezesha wateja hao pamoja na watanzania kwa ujumla kufikia...
  14. J

    JamiiForums Tanzania Taxify yazindua huduma mpya ya ‘taxify bomba’ jijini Dar es salaam

    Taxify, Kampuni inayokuwa kwa kasi Ulaya na Afrika katika huduma ya usafirishaji imetambulisha huduma mpya ya ‘TaxifyBomba’ maalum kwa magari madogo, Dar es Salaam, Tanzania. Kampuni hiyo inajaribu kupanua chaguzi za wasafiri na kuruhusu madereva wa magari madogo ambayo yanatumia mafuta kwa...
  15. J

    JamiiForums Tanzania In Love and Money Tour ya Vanessa Mdee na Jux yawakosha wana Mtwara

    Vanessa Mdee na Barnaba wakitumbuiza jukwaani. Vanessa na Jux wakiperform Mtwara. Ni rasmi kuwa wasanii wa Tanzania, Vanessa Mdee na Juma Jux wanakua mfano wa kuigwa katika safari ya maisha yao ya kimuziki baada ya kuzindua rasmi ziara yao iliyopewa jina la “In Love and Money Tour”...
Back
Top Bottom