Recent content by Juma Rashid

  1. J

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kusomea elimu ya afya hewani tayari!!! Ingia

    Kwa hiyo inamaana kupata E huwezi kupokelewa? kama E haikubaliki basi wange andika F tu kuliko E
  2. J

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kusomea elimu ya afya hewani tayari!!! Ingia

    Mimi nashindwa kuelewa kama mtu una phy E,chem D,biology D,english D,geog D,civics D,kiswahil D,history E,math F, Hapo inakuaje? manake kunachuo nimetuma maombi wameniambia physics kupata E ni fail sasa aliye pata F inakuaje? jamani?
  3. J

    JamiiForums Tanzania Wale wanaosoma au waliosoma Kolandoto na mvumi college of health science

    Muhimbili www.muhas.ac.tz Bugando,KCMC,
  4. J

    JamiiForums Tanzania Wale wanaosoma au waliosoma Kolandoto na mvumi college of health science

    Muhimbili @[0:1:www.muhas.ac.tz]
  5. J

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya maabara

    Ndugu yangu kwa nchini kwetu hapa TANZANIA hakuna chuo chochote kinachotoa degree ya medical laboratory technology kwa kuwa hakuna vifaa vya kufundishia degree vyuo vyote vikubwa vya afya nchini kama MUHAS na BUGANDO wanaishia diploma tu. nawasiwasi na elimu yako na ndomana hutaki kuomba...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Nitajieni vyuo vya kusomea u-nurse

    Naomba kuuliza mkuu hivi IMTU wanafundisha certificate in medical laboratory technology?
  7. J

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu c.huo cha madini dodoma

    Chuo cha madini dodoma wanapokea waliopata math C,physics D,chemistry D,geography D
  8. J

    JamiiForums Tanzania Clinical Assistants Upgrading

    Unasoma chuo gani? hiyo clinical assistant
  9. J

    JamiiForums Tanzania Certificate na Diploma ya Afya

    Nenda kam college of health sciences chuo kipo dar ni kizuri kimesajiriwa na NACTE na wizara ya afya pia intake wanaanza masomo mwezi wa 6 mwaka huu wanafundisha medical laboratory na clinical officer.nakushauri uende kam ww jidanganye cjui muhimbili,Bugando huwezi kwenda hapo utaganga mtaani...
  10. J

    JamiiForums Tanzania KAM COLLEGE !! ni kweli juu ya hili??

    KAM college kimesajiriwa na serikali pia na wizara ya afya xo ondoa shaka kwa hilo nenda kam college ww, intake wanaanza mwezi wa 6 mwaka huu
  11. J

    JamiiForums Tanzania Wale wanaosoma au waliosoma Kolandoto na mvumi college of health science

    Mvumi mission hospital ni hospitali ya taifa ktk specialization ya upasuaji wa macho kuna wataalam waliobobea katika fani hii pia hospital ya mvumi ina colleges tatu midwife & nursing,COTC ,na medical laboratory assistant ada kwa diploma ya CO sijajua itakuwa bei gan bt nahic itakuwa kuanzia 2.5...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Wale wanaosoma au waliosoma Kolandoto na mvumi college of health science

    Yap! naishi dom hapa hapa ila nipo town kisasa area chuo cha mvumi kipo nje kidogo ya mji ukiwa mjini hapa kwenda mvumi nauli sh.3000
  13. J

    JamiiForums Tanzania KAM COLLEGE !! ni kweli juu ya hili??

    Ingia website ya nacte kujua usajili wa chuo husika www.nacte.go.tz
  14. J

    JamiiForums Tanzania Msaada kwa ajili ya chuo na kozi. Form four leaver

    kwel kabixaa yy awe wazi2
  15. J

    JamiiForums Tanzania Wale wanaosoma au waliosoma Kolandoto na mvumi college of health science

    Mvumi & kolandoto vyote hivi vina usajili wa kudumu xo we jipange andaa ada then ukapige pindi mm nimehitimu 2013 nataka nikachukue certificate ya maabara nina D sita kat ya hizo ya engl ipo kemia na bioz xo kama vp tutakutana mvumi paleee COTC wewe chukua clinical officer (uganga) then mm...
Back
Top Bottom