Pole sana; punguza jaziba ili siku moja ufanye saplyis ya hizo sms zao, tumia namba ya laini ngeni kwao wambie hiyo ni hatari mnaichezea kati ya wewe na mwenzio huyo mchepuko wako maana mahara husika taarifa zilisha fika napicha za makutano yenu ziko ndani ya kamera. Usiombe yakukute
Zawadi yake si yakuwaza sana, zawadi hiyo ni kama ifatavyo kubadilisha jina lake la awali na kumuita mama fulani nifaraja maana mengine ni vidokezo tu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.