HALMASHAURI ya Wilaya ya Bahi mkoani Dodoma imesema haitawavumilia walimu walevi, pia walimu wa kike wanaovaa mavazi mafupi na yanayoonesha maungo ya miili yao na walimu wa kiume wanaovaa suruali za kubana ‘vimodo'. Kauli hiyo ilitolewa juzi na Ofisa Elimu wa Wilaya ya Bahi, Mary Mathew...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.