Recent content by Juma Jongo

  1. J

    JamiiForums Tanzania Wilaya ya Uyui na zoezi la vitambulisho vya taifa

    Wananchi wa Wilaya ya Uyui Mkoani Tabora wameendele kujitokeza kwa wingi kushiriki zoezi la Usajili wa Vitambulisho vya Taifa Unaoendelea Mkoani Tabora. Wananchi wa kata ya Ikongolo Wilaya ya Uyui Mkoani Tabora wakiwa tayari kuanza kuhojiwa na Maafisa Uhamiaji ikiwa ni Hatua Muhimu katika...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Tabora yasajili vitambulisho vya Taifa

    USAJILI VITAMBULISHO VYA TAIFA WASHIKA KASI TABORA Mamlaka ya Vitambulisho Vya Taifa (NIDA) imeendelea kufanya vizuri zoezi la usajili wa Vitambulisho Vya Taifa Mkoani Tabora ambapo Wilaya zote zinafanya zoezi hilo. Afisa Usajili wa Mkoa wa Tabora Bi Grace Msaky amesema kuwa wananchi...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Watanzania waliopo nje ya nchi watapataje vitambulisho vya Taifa?

    Hapo ulipo Jitahidi kufika kwenye ofisi ya NIDA iliyo jirani upate kuuliza wamefikia wapi na ukihama utapewa wapi ID yako. usikae kimya nenda kwenye ofisi yao zipo kila wilaya hapa nchini
  4. J

    JamiiForums Tanzania Watanzania waliopo nje ya nchi watapataje vitambulisho vya Taifa?

    Nakushauri uende kwenye ofisi yao kufuatilia kitambulisho chako. wanakua na watu wengi sana maelfu ya waombaji vitambulisho hivyo ili kurahisisha na kujua hatua kitambulisho chako kimefikia ama kama kuna shida na ni shida gani. ni vema kuwa wafuatiliaji zaidi kuliko kusubri tu.
Back
Top Bottom