Recent content by juma dema

  1. J

    Walifikiri ulikua mzaha,sasa wanakuelewa uliposema hata soda ukichanganya na gongo utalewa tu

    Naungana na wewe kumpongeza JPM kwa jinsi alivyoweka sawa, ile tabia yakutishiana mara ooh unanijua Mimi ni nani siioni tena, nakumbuka cku moja nikiwa natekeleza majukumu yangu ya kazi kuna jamaa alinipiga mkwara sana eti ooh! unanijua Mimi ni nani Mimi nikamwambia anayepaswa kukujua wewe ni...
  2. J

    Kipi kitangulie kati ya haki na amani?

    Haki ni stahili ya MTU! Amani kwa upande naitafasiri kama ni stahili ya watu wote na si MTU mmoja kama tafasiri ya haki. Kimsingi amani na haki ni sawa na Maji na samaki. Ushauri wangu kwa watz tuzingatie, tudumishe amani na tudai haki kwa haki, tunajua haki haidaiwi ila huchukuliwa, ifahamike...
  3. J

    Kwa hekima na busara ni vyema watawala wangefanya yawapasayo kulinda amani badala kulinda madaraka

    Katiba nzima nimesoma hakuna sehemu iliyoandikwa operation ukuta, je ni haki wao kuanzisha kitu ambacho kwenye katiba hakimo! Kimsingi hatujaribiwi na kama wanataka kutujaribu wakaanze kuwajaribu wake zao kwanza!
  4. J

    Zitto Kabwe: Serikali iwe inatafakari mambo kwanza kabla ya kutangaza maamuzi yake

    Tena wewe zitto tabia ya kutujengea barabara ya mawe watu wa ujiji, halafu sehemu zingine unajenga kwa lami, inamana umetuona watu wa ujiji tunatembea sana kwa miguu au tunavaa sana katambuga jamani hatujapenda kabisa !
  5. J

    Zitto Kabwe: Serikali iwe inatafakari mambo kwanza kabla ya kutangaza maamuzi yake

    Kwani ukiwa unasafiri na gari kwa bahati mbaya njia unayotumia ukagundua ni mbovu kwa mbele je utaendelea kwenda au utarudi upite njia nzuri, kimsingi Rais wetu anafanya kazi nzuri na matunda ya kazi yake yalishaanza kuonekana mwezi mmoja tu aliposhika nchi binafsi Mimi najivunia kuwa na...
  6. J

    Hotuba ya Freeman Mbowe. Amuonya Vikali Rais Magufuli

    Mnaandama kuelekea wapi! Mnatikisa viberiti lakini vingine vya gesi havitikiswi vitawaripukia
  7. J

    Breaking news

    Du umenishitua sana, nikahis mshahara wangu utafika elfu 42
Back
Top Bottom