Pole hicho kitu hakipo kbs nilishawahi pata rafiki wa namba hiyo 2010 na kampuni hiyo hiyo mwisho wa siku wanatakuambia tuma pesa kupitia mchungaji yupo Nigeria tena $300 tu . So ndugu yangu mimi nipo hapa USA mwaka wa nne sasa asikudanganye mtu kuna kupata kazi kirahisi hivyo. Its a prosess...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.