Prof. Kutokana na ufafanuzi wa hizo Nguzo Tano za ACT, Ninaona mnaangukia kwenye " Social-Market Economy".
Maana serikali inageuka kuwa Referee au lubricant Kati ya Mabanyeye na makapuku?
Kuainisha haki za makundi mbalimbali haitoshi, kuweka mfumo bora wa kikatiba wa kutekeleza haki hizo hiki ndicho kimekosekana katika katiba pendekezwa.
Kwa sasa taasisi imara za kutetea maslahi ya wanafunzi vyuoni hazipo bali kuna vibaraka wa watawala wa vyuo ili siku zi songe.
Hii ni kutokana na kuingiliwa kwa taasisi hizo na vyama vya Siasa, serikali na management za vyuo zikizani kufanya hivyo ndio siluhu ya migomo vyuoni.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.