Nyongeza ya ushauri ila siyo wa mwisho: Hakikisha kwenye memorandum unaorodhesha kazi zote ambazo unahisi kampuni itaweza kuzifanya hata kwa miaka ya baadaye sana. Hakikisha kuna wakurugenzi/wanahisa wa kampuni wasiopungua 2 wenye umri usiopungua miaka 18.
Nauza gari aina ya Mitsubishi canter
Engine: 4D34
Ukubwa wa engine:cc3900, turbo.
Bodi/chasis: Refu na pana.
Studi 6.
Iko katika hali nzuri na inafanya kazi.
Ipo Arusha.
Bei: Maelewano.
Mawasiliano: 0754269641
Registration No:T972AVZ
Chasis No:FE659C531066
Engine No:4D34G48932
Engine capacity:3900cc
Year of manufacture:1998
Heavy duty vehicle (3.5Tons)
Wide & long extended chasis
Working & good condition
Location:Arusha city centre
Contacts:0754 269 641 or e-mail nanyukiinvestments@yahoo.com...
Pole kwa tatizo lako ndugu. Kama uko Arusha au kama serious kutafuta tiba ya tatizo lolote fika maeneo ya Ngaramtoni shuka kituo kiitwacho njia ya ng'ombe utakuta kibao kilichoandikwa VUKA YORDANI, fuata kinapokuelekeza, ukifika ulizia Mkuu wa hapo. Usiende na pesa yoyote na kama utahitaji kutoa...
Motor vehicle license ikiwekwa kwenye mafuta itapunguza usumbufu kwa walipaji na TRA pia, ila itapunguza mapato ya baadhi ya madalali kama Majembe. TRA ifanye majaribio angalau kwa mwaka 1. Kodi hii ikiwekwa kwenye mafuta itaisaidia serikali kwani kila atakayetumia mafuta mengi atalipa zaidi...
Gari aina ya Mitsubish canter mayai engine 4D34, cabin kubwa. Bei ni maelewano.
Wasiliana nasi kwa simu 0752210479 au barua pepe : nanyukiinvestments@yahoo.com
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.