Recent content by Julius Kanyehu

  1. J

    Mkuu wa Taasisi ya Teknolojia Dar es Salaam, Prof Ndomba hana uwezo wa kuiongoza Taasisi hiyo, abadilishwe

    Hapa hakuna anayelaumu, bali ni kueleza facts ili mamlaka husika zichukue hatua. Hayo siyo majungu, nafanya hivyo kwa maslahi ya taifa. Kila nilicho elezwa kina ushahidi wa maandishi au audio recordings akiwa ana harass au kudhalilisha wafanyakazi kinyume kabisa na maadili ya utumishi wa umma...
  2. J

    Mkuu wa Taasisi ya Teknolojia Dar es Salaam, Prof Ndomba hana uwezo wa kuiongoza Taasisi hiyo, abadilishwe

    Mkuu wa Taasisi ya Teknolojia Dar es Salaam, Prof Ndomba, hana uwezo wa kuiongoza DIT kwa ufanisi na hivyo inapaswa abadilishwe. Sababu kuu za kutaka abadilishwe ni kama zifuatavyo: Hakubali kushaurika, hasikilizi na ni mbishi: Ukimshauri kama hapendi unachomshauri atakikataa hata haka hana...
  3. J

    Tusipoamua tutaishia kusema haiwezekani kwa Afrika

    Unachokisema ni kweli. Tatizo kubwa taasisi zetu za elimu pamoja za tafiti hazina mazingira mazuri ya kuweza kuwekeza kwa technologia zijazo. Tatizo kubwa ni uhaba wa rasimilai watu na fedha za kufanya hivyo. Tatizo lingine ni vipaombele. Hivyo, kwa vile taasis zetu hajawaanda vijana kuwa...
  4. J

    Njoo tujifunze code challenge kama JS, Java, PHP, HTML, CSS, C#

    Posti yangu ya kwanza... hii ni hatua nzuri ya kupata feedback kwenye codes anazodevelop mtu. In fact ni njia nzuri ya kujifunza pia.
Back
Top Bottom