Rasmi sasa kuna jamaa kanidodosa kua biashara ya boda inalipa kwahiyo nimeona nicheki upepo wa pikipiki boda.
Mwenye connection ya boda nzuri kwa hiyo bei gani USINIAAMBIE NIJE PM SIJI Asanteni.
Wakuu msaada kwa wale wabobevu wa uchumi kipi sahihi hapo kupangisha sehem frem penye watu sio wengi na bei 30 elf wakati huo huo kwa sh elf 50 eneo populated.
Asanteni.
"kijana unatakiwa ufuate utaratibu wa mtaa wetu Kikubwa unaulizia ishu za michongo ya pesa lipia elfu mbili"
(Nahisi jamaa alikua anapiga fegi)
Nilikua nauliza kama naweza pata fremu mtaa fulani hivi, kiukweli bado hakuna madalali ni unaonana tu na mmiliki lakini jamaa hawakupi connection adi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.