Recent content by julius caesar

  1. J

    JamiiForums Tanzania Natafuta kin'gamuzi cha Startimes used nipo Dar

    Natafuta kin'gamuzi cha startimes used,nataka kununua. mwenye nacho ani pm!
  2. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sina imani na wanawake katika mapenzi

    Assnte kwa ushauri mzuri mkuu,nitaufanyia Kazi!
  3. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sina imani na wanawake katika mapenzi

    Unamaanisha nni?
  4. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sina imani na wanawake katika mapenzi

    Hicho chuo Kinapatikanq wapi mkuu?
  5. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sina imani na wanawake katika mapenzi

    Habari wana JF, Kusema kweli nimepitia changamoto nyingi za kimapenzi, huko nyuma nimesalitiwa sana na wanawake niliowapenda.Lakini sasa binafsi naona umuhimu wa kuoa na kujenga familia,lakini tatizo langu si mwamini mwanamke yoyote. Tatizo hili linanipa wakati mgumu sana kuweza kuoa coz sasa...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Msichana anatafuta Kazi ya pharmacy!

    Habari ndugu zangu wa jf,Nina mdogo wangu wa kike anaelimu ya pharmacy ngazi ya cheti,ningempenda msaada wenu ili aweze kupata Kazi katika hospitali au duka la madawa,anapatikana Daressalaam!
  7. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tahadhari: Kuwa makini na wachumba unaowapata mitandaoni

    Mmi sio mbahili,ila siwezi kutoa pesa kwa mwanamke ambaye sijawahi kumwona!
  8. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tahadhari: Kuwa makini na wachumba unaowapata mitandaoni

    Asante mkuu!,nilikuwa najaribu bahati Yangu!
  9. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tahadhari: Kuwa makini na wachumba unaowapata mitandaoni

    Siku hizi matapeli wengi,ndio mana imani imepungua!
  10. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tahadhari: Kuwa makini na wachumba unaowapata mitandaoni

    Tuheshimiane mkuu,mmi siri ugali wa shikamoo,najitegemea naishi kwangu!
  11. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tahadhari: Kuwa makini na wachumba unaowapata mitandaoni

    Usimsikilize mkuu,hakuna ukweli wwote hapo anapotosha uma2!
  12. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tahadhari: Kuwa makini na wachumba unaowapata mitandaoni

    Misitafuti Kazi mkuu!,nina Kazi Yangu inanitosha,na unatakiwa ujue sio kila post tunazoweka humu zinatuhusu ssi binafsi,nyingine tunawasaidia marafiki,ndugu,kutatua matatizo yao.usipende kukariri!
  13. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tahadhari: Kuwa makini na wachumba unaowapata mitandaoni

    Hakuniomba buku 5 mkuu,mbona unasema vitu usivyovijua!
  14. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tahadhari: Kuwa makini na wachumba unaowapata mitandaoni

    Wameshaipata mkuu Kazi kwao sasa!
  15. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tahadhari: Kuwa makini na wachumba unaowapata mitandaoni

    OK,asante sana mkuu,ubarikiwe!
Back
Top Bottom