Recent content by Julioo

  1. Julioo

    Utengenezaji wa Sabuni za Aina Mbalimbali: Fahamu Mahitaji, Mchakato wa Uzalishaji na Masoko

    Tunakusupport lakini fikiriakupunguza bei ya kitabu chako
  2. Julioo

    Utengenezaji wa Sabuni za Aina Mbalimbali: Fahamu Mahitaji, Mchakato wa Uzalishaji na Masoko

    Unajua kwa uzoefu wangu ni kuwa kama mtu huwezi tu kufuatilia mafunzo unayoelekwa katika kitabu kutengeneza sabuni hata ukielekezwa kwa vitendo ni kazi bure tu utapoteza pesa yako kwani kila kitu ni saikolojia. Wengi wasioweza huwa visingizio ni vingi. Mfano mtu anakwambia mimi nimekosa milioni...
  3. Julioo

    Tour fupi ya shamba langu la greenhouse

    Bw. Biashara naomba niongelee kidogo Leo kuhusu jambo dogo ingawa lina mchango mkubwa sana katika kuleta maendeleo ya watz katika kila nyanja ya maisha. Juzi kati baada ya kuchangia katika post yako kuna kijana aliniandikia meseji alikuwa anaongelea na kuniuliza maswali kadhaa. Nilimuuliza...
  4. Julioo

    Tour fupi ya shamba langu la greenhouse

    za kwenu wana jamvi. Nimedhani itakuwa inahamasisha kama nami nta share experience yangu katika kilimo baada ya kuamua kwa hiari mwenyewe kujihusisha na kilimo ili kujiongezea kipato. Nilmtumia Biashara hiyopesa ya hiyo formula yake na pia nikaenda kwenye lile shamba darasa alilonielekeza pale...
  5. Julioo

    Kilimo, soko na faida za Uyoga

    Tuliongea juzi kati ukaniambia utanitumia mafunzo hayo kwa email kwa ambao wako mbali na moro huko. Nimekutumia ile pesa ya mafunzo leo. Ni shilingi 10,000 si ndio?
  6. Julioo

    Utengenezaji wa Sabuni za Aina Mbalimbali: Fahamu Mahitaji, Mchakato wa Uzalishaji na Masoko

    Asante Bw Biashara kwa kile kitabu kinachofundisha sabuni za mche bila ile caustic soda chemical hatari kwa afya zetu
  7. Julioo

    Tour fupi ya shamba langu la greenhouse

    Hebu nielekeze jinsi ya kuubadilisha mpira wa kawaida wa kumwagilia ili ufanye kazi ya kumwagilia kwa matone
  8. Julioo

    Tour fupi ya shamba langu la greenhouse

    Asante sana bw Albert kwa ushauri wako nimeweza kushirikiana na halmashauri ya wilaya ya huku songea kutumia shamba langu kuelimisha wanafunzi wa vyuo. Na ntakuwa nalipwa
  9. Julioo

    Tour fupi ya shamba langu la greenhouse

    Nashukuru sana bw Biashara2000 kwa mafunzo uliyonitumia siku ile na kesho yake tu nilipanda zile mbegu. Baanda ya siku tatu miche ikatoka na nikapulizia ile mbolea ya Polyfeed, bwanawee ni noma, maana ndani ya siku tatu tu miche ikafika urefu mpaka magotini. Sasa naanza kuweka zile fito...
  10. Julioo

    Mafunzo ya kutengeneza mkaa wa kisasa

    Mimi nilishagombana na shangazi yangu hivi hivi kimasihara tu. Yeye ananunua na kuuza huu mkaa wa kawaida sasa siku mi nikaweka kituo changu cha usambazaji karibu na pale yeye anapouzia. Basi watu wakawa haendi pale kwake wanakuja kwangu kutokana na bei niliyoweka. Shangazi yeye alikuwa anauza...
  11. Julioo

    Noah Inakodishwa kwa shughuli mbalimbali

    wow kitu baaab kubwa
  12. Julioo

    Mafunzo ya kutengeneza mkaa wa kisasa

    Njombe siku hizi hakuna kilimo cha maua tena kama zamani. Kila mtu anajua hilo
  13. Julioo

    Greenhouse katika video

    Ni kweli unachoongea. Ni ukweli uliowazi kuwa watz wengi kwa sasa wanakabiliwa na maisha magumu yenye kipato kisichokizi mahitaji yao. We tafuta watu kuanzia tarehe 10 - 23, hakuna mwenye hela.
  14. Julioo

    Mafunzo ya kutengeneza mkaa wa kisasa

    Ma spamers mbona wako wengi tu out there
  15. Julioo

    Greenhouse katika video

    Mimi namfahamu jamaa mmoja yuko rombo yeye amejenga greenhouse yake kidogo kidogo mpaka ikaisha. Siku nikiwasiliana nae ntamuuliza alifanyaje
Back
Top Bottom