Recent content by Julie jack

  1. J

    JamiiForums Tanzania Tatizo la umeme mkoani Tabora

    Hivi hili tatizo la umeme mkoani Tabora litaisha lini? Hawatoi taarifa kwa wananchi nini kinachoendelea, wanaukata wanavyotaka na wanaurudisha wanavyotaka, mbaya zaidi ukipiga simu makao makuu Tanesco. Watoa huduma hawawi wazi, wanajibu tu ooh kuna hitilafu, hatukatai hitilafu kutokea ndo...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Hivi tatizo ni kukosa Elimu,Uelewa au Exposure?

    Unaonekana huna stress kabisa,
  3. J

    JamiiForums Tanzania Vyuo vya kati vya afya (pharmacy) visivyokuwa na utaratibu wa kuvaa sare

    Hakuna chuo cha afya ambacho huwez kuvaa sare, hiyo ni sheria ya wizara, umri ni namba kuna watu wana 35 years na bado wanavaa sare kikubwa nia tu. Kama unania na hy kozi kubali sare
  4. J

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhama chuo cha afya NACTE baada ya kuahirisha kwa Muda Mrefu

    Ndiyo mkuu, kaza tu moyo kamalizie ukifika level 6 unaweza kuhama lakini semester ya 1.
  5. J

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhama chuo cha afya NACTE baada ya kuahirisha kwa Muda Mrefu

    Unatakiwa ukaandike barua chuoni kwako ya kurudi na kuomba kuendelea, lakini mpaka mwakani mwezi 4 siumebakiza semester 1?, kuhama itakuwa ngumu labda kama ndo ungekuwa unaingia level 5 semester 1.
Back
Top Bottom