Recent content by julianus yoramu

  1. julianus yoramu

    Kwa idadi ya watu wazito na matajiri wanaolitaka jimbo la Kawe kupitia CCM mwaka 2025, Bishop Gwajima anza kutuaga sasa wana Kawe

    Lilikuwa nyuma kwa mzuzu mmoja kwa miaka 15 gwajima amepambana kwa miaka 4 sasa kawe inaeleweka. Mitano tena akamilishe ahadi zake.
  2. julianus yoramu

    PreGE2025 Wanaosema Gwajima hana msaada jimboni wanakaa wapi?

    Nyamaza kwa sababu hata mtengeneza barabara humjui.
  3. julianus yoramu

    PreGE2025 Wanaosema Gwajima hana msaada jimboni wanakaa wapi?

    Sisi wanakawe tumepata jembe. Wewe endelea kutungua macho na kuongea utumbo wako na bibi yako. Tuache na Gwajima jembe.
  4. julianus yoramu

    PreGE2025 Wanaosema Gwajima hana msaada jimboni wanakaa wapi?

    Mbona unapambana kulaghai. Laghai wajinga gwajiboy anatosha! Hayo mengine ni yako na bibi yako.
  5. julianus yoramu

    PreGE2025 Wanaosema Gwajima hana msaada jimboni wanakaa wapi?

    Sasa unataka hayafanye yote kwa wakati mmoja!? Mbona siku kwa siku anakuwa jimboni na kazi inaendelea???
  6. julianus yoramu

    PreGE2025 Wanaosema Gwajima hana msaada jimboni wanakaa wapi?

    Wewe utakuwa hauko Kawe, kazi ya Gwajima jimboni inajieleza. Labda ongelea ya 15 ya aliyekuwepo na mahala pake hapatakuwako tena kawe. Kazi kazi gwajima oyeeeeee!
  7. julianus yoramu

    PreGE2025 Wanaosema Gwajima hana msaada jimboni wanakaa wapi?

    Jimbo la kawe bado tuna matumaini ma Gwajima, kwa muda mfupi wa miaka yake 4 shoo yake si ya kitoto. Maana tulikuwa na miaka 15 ya kupotezewa muda na hayo yote ambayo Gwajima amepambana na kutoboa ni matobo na udhaifu wa aliyekuweko. Gwajima akipewa miaka mingine buku kawe yote inabadirika...
Back
Top Bottom