Recent content by juice

  1. J

    JamiiForums Tanzania Jaji Tendwa: Nitaifuta CHADEMA lakini CCM siwezi...

    tumewazoea hao,lakini muda wao unahesabika
  2. J

    JamiiForums Tanzania Watanganyika watakiwa kuondoka Zanzibar!

    Wakulu!Mi mwnzenu cjui hata niwafanye nini hawa wazanzibar,maana......!
  3. J

    JamiiForums Tanzania Vua Gamba Vaa Gwanda Yapata Dhoruba Lindi

    Mimi nnachowasihi makamanda wa CHADEMA,wakomae nao kuwaelimisha wataelewa tu,kwani historia inaonyesha hata hizo sehemu ambazo wanakubalika leo walikuwa hawakubaliki hapo awali,cha muhimu ni kukaza buti ili wapambane hadi wawashinde maadui zao[MAFISADI WA CCM]
  4. J

    JamiiForums Tanzania Niandike maneno gani kwenye bango langu kuelekea Jangwani kesho?

    Andika hivi WEZI WOTE,MWISHO WAO UMESHAFIKA
Back
Top Bottom