Recent content by Judith nkenjah

  1. J

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi, nimesomea Procurement and Logistics Management

    Daaah!!kusoma tunasoma ila kazi kuzipata si lelemama na piaa wengi tunasoma kwa peni na karatasi tuu ila kutumia Yale maarifa tunayopata katika uhalisia kiufanisi na umakini ndio tatizo....ila usijali Mungu mwema Fanya bidii kutafuta Nazi kwani Mungu hamtupi mja wake?
  2. J

    JamiiForums Tanzania Naomba: Tofauti kati ya mhasibu na mgavi

    Hivi research inaandaajwe kwa watu wa procurement and logistics management?
  3. J

    JamiiForums Tanzania Naomba: Tofauti kati ya mhasibu na mgavi

    Naombeni kujuaa kazi anazoweza kuzifanya anae somea procurement and logistics management
Back
Top Bottom