Tunatengeneza pochi nzuri kwa bei nafuu,ikiwa una kitchen party ungependa kumechi na pochi,basi unatupa kipande cha kitambaa kidogo ambacho umeshona gauni/sketi yako then tunakutengenezea pochi hiyo.sample ni kama inavyoonekana hapo chini:
picha namba (1) ni batik, Picha namba (2) ni...