Yaani mimi ninavyo jua kama huja kamilisha vigezo system inakataa au hata ukiomba post tofauti na vigezo husika pia inakataa but sijui kwann wanafanya ivi inakera Sana dah
Jaman Mimi nili apply na wakanijibu received Cha kushangaza kwenye kuitwa usaili wanajibu sija attached cheti Cha diploma sijaelewa na kwenye account yangu Kila kitu kipo ivi kuna mtu mwenye tatizo kama langu anisaidie au ninamna ya kuwa punguza watu niliomba TRA
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.