Recent content by Judi Mushi

  1. J

    Watumishi Rungwe wagoma wakipinga kikokotoo cha mafao

    Keep quiet and watch ni Maumivu mwisho tutakufa kwa Msongo(Depresssion). Wafaransa wiki jana walishindwa huo msemo hatimaye wamepata walichotaka.
  2. J

    Watumishi Rungwe wagoma wakipinga kikokotoo cha mafao

    Hata kama ni kada haya yanamhusu, aliahidi kuwaeleza Watumishi nini makubaliano baada ya kukutana Morogoro. Atoke aseme walichokubaliana.
  3. J

    Watumishi Rungwe wagoma wakipinga kikokotoo cha mafao

    Huyo Mbowe siyo Mtumishi wa Umma aliwezaje kukukopeshwa bilion? Sorry mtoa mada hebu tueleze alikopa mfuko gani na masharti yalikuwaje? Watumishi wa Umma hatukopeshwi hata 1m ya kujiuguza, kununua kiwanja, nyumba, gari, elimu aje apewe Mbowe!!!! Anyway mkopaji anakuwa makubaliano ya kulipa...
  4. J

    Watumishi Rungwe wagoma wakipinga kikokotoo cha mafao

    TUCTA Majibu na uamuzi wenu mtujulishe
  5. J

    Watumishi Rungwe wagoma wakipinga kikokotoo cha mafao

    Kwani TUCTA wamesema nini baada ya kukutana na hao waliobadilisha? Nimesubiri majibu na maamzui ya TUCTA sijayaona.
  6. J

    Abihudi Misholi vs Boni Mwaitege

    ABIHUDI NA MKEWE CHEUPE HAKIKA WANANIBARIKI.
  7. J

    Mahakama yawafutia dhamana M/kiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe na Mbunge wa Tarime Mjini, Esther Matiko

    Sawa baba nimekupata. Kufungwa kwake kutakupatia maendeleo na mlo wa kila siku Nyumbani kwako.
  8. J

    Mahakama yawafutia dhamana M/kiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe na Mbunge wa Tarime Mjini, Esther Matiko

    Hii chuki ya nini? Mbowe akifungwa unapata faida gani wewe na familia yako? Dunia hii tunapita hatuna makazi ya milele hapa kiasi cha kushangilia wenzako wakipata tabu. Mbowe na Esta Mung awatie nguvu.
  9. J

    Mtanzania Joyce Msuya ateuliwa kuwa Kaimu Kiongozi wa Shirika la Umoja wa Mataifa kuhusu Mazingira, UNEP

    Acha kufukua makaburi hayo yalishapita na waliosababisha wamepita. Sisi wote ni East Afrika ndugu katika damu kuna Wamasai Kenya na Tanzania, Kuna Wajaluo,Wakuria, Wataita Kenya na Tanzania. Kuna majina ya Wachaga Kenya na Tanzania na mengineyo. Wote tunajifunza na kuongea Kiswahili. Hatuna...
  10. J

    Mtanzania Joyce Msuya ateuliwa kuwa Kaimu Kiongozi wa Shirika la Umoja wa Mataifa kuhusu Mazingira, UNEP

    Hongera Joyce Msuya hongera wazazi wako waliokusomesha panapoeleweka hadi ukafikia hatua hii. Elimu bora kwa mtoto haiwezi kumuangusha mzazi. Chapa kazi dada umeonesha unaweza ukiwezeshwa. Ila nyie mnaoandika CV ya mtu kwa kiswahili mnaboa. BIOKEMIA NA ''KINYA MWILINI'' NI fani gani hiyo...
  11. J

    Msako wa wamiliki wa visima wasiovilipia ada ya matumizi waja

    ardhi na vyote vilivyomo juu na ndani ni Rasilimali ya taifa. usipopata madini hapo kwako umepata maji lipia.
  12. J

    Jaden Smith (mtoto wa Will Smith) atangaza kujihusisha na mapenzi ya jinsi moja

    Mimi huwa nashindwa kuelewa hivi Mwanaume utatamanije kumuingilia Mwanaume mwenzako mwenye ndevu, misuli imekomaa!! kwangu akili inadata !!! Mungu Shuka useme na hawa wanadamu wanaokengeuka kila siku kwenye dunia uliyotupa yenye Adam na Hawa. That part is not for nispe Penetration it is for...
  13. J

    Tutafakari: Kama sisi ni nchi huru kwanini Serikali imkane Makonda? Haki zipi ambazo ziko nje ya katiba yetu? Je, serikali imeridhia ushoga?

    Utetezi wangu ni kwamba watu wazima walioamua kuwa hivyo wasitushughulishe tukaache mambo ya Msingi tunayohitaji kama vile Shule, Afya, Usafiri, viwanda,maji, na umeme. Haya ndio mahitaji ya smingi ya kila mwananchi. Unawaambia watu mara unaitwa hard skull, na maneno mengine yasiyopendeza...
  14. J

    Tutafakari: Kama sisi ni nchi huru kwanini Serikali imkane Makonda? Haki zipi ambazo ziko nje ya katiba yetu? Je, serikali imeridhia ushoga?

    You are a product of blood oozing from your mother's cunt which grabs her thinking capacity too.( this is the answer for men of your type).
  15. J

    Tutafakari: Kama sisi ni nchi huru kwanini Serikali imkane Makonda? Haki zipi ambazo ziko nje ya katiba yetu? Je, serikali imeridhia ushoga?

    And I too I am sorry for your teachers, I wonder how did they strive to make your Liquidified Skull( watermelon) to let a simple understatnding "If that's what it takes to make you feel like a big man, I pity you''. I am not Pro Mashoga and I don't care about what they do under their roof.
Back
Top Bottom