Recent content by juctn Mt

  1. juctn Mt

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Tuwekee code mkuu picha kwangu haifunguki
  2. juctn Mt

    JamiiForums Tanzania Vita ya kuwania Ukatibu Mkuu wa CCM imepamba moto

    Hapo itafaa zaidi wakimpatia makonda Halafu Itikadi na uenezi wampatie yule kijana wa Arusha Lengai ole Sabaya.
  3. juctn Mt

    JamiiForums Tanzania Tutegemee nini kama hii picha ikimuonesha waziri mkuu na Lengai Ole Sabaya wakifanya mazungumzo ni ya kweli?

    Walishazoea biashara za magendo na kukwepa kodi.. Ukiwabana kidogo wanalia kama watoto.. Ndio maana kelele nyingi utawasikia wanasema Jambazi lkn ukweli upo wazi hao ni wahuni sana.
  4. juctn Mt

    JamiiForums Tanzania Tutegemee nini kama hii picha ikimuonesha waziri mkuu na Lengai Ole Sabaya wakifanya mazungumzo ni ya kweli?

    Tukio gani la ujambazi alilokufanyia wewe na familia yako .!!??. Kama ulikwepa kodi kukushughulikia ni ujambazi!? Unauza bidhaa kwa magendo.. Kukushughulikia ni ujambazi!?.
  5. juctn Mt

    JamiiForums Tanzania Tutegemee nini kama hii picha ikimuonesha waziri mkuu na Lengai Ole Sabaya wakifanya mazungumzo ni ya kweli?

    Dhamira yako ni ipi inayoishi!?. Nchi hii ni yetu sote acheni wivu na ujinga.
  6. juctn Mt

    JamiiForums Tanzania Tutegemee nini kama hii picha ikimuonesha waziri mkuu na Lengai Ole Sabaya wakifanya mazungumzo ni ya kweli?

    Mda mwingine jifunze kuficha ujinga wako mbele ya watu. Alimficha nani Baba yako au!?
  7. juctn Mt

    JamiiForums Tanzania Tutegemee nini kama hii picha ikimuonesha waziri mkuu na Lengai Ole Sabaya wakifanya mazungumzo ni ya kweli?

    Hawawezi kulijua hilo.. Wanawaza jambo la Sabaya tu ambaye yeye kashinda mahakamani wala hajafutiwa kwa huruma ya mtu. Nchi hii ina wajinga wengi sana.
  8. juctn Mt

    JamiiForums Tanzania Tutegemee nini kama hii picha ikimuonesha waziri mkuu na Lengai Ole Sabaya wakifanya mazungumzo ni ya kweli?

    Ameumiza akina nani hao!? Amua wazazi wako!? Wewe ndio ulipaswa uwe jela kwa kusambaza taarifa za Uongo. Mahakama imeshatoa amri.
  9. juctn Mt

    JamiiForums Tanzania Tutegemee nini kama hii picha ikimuonesha waziri mkuu na Lengai Ole Sabaya wakifanya mazungumzo ni ya kweli?

    We si ulikuwa mmoja wa watoa ushahidi!!?. Kesi zenu hizo za kutunga zimeishia wapi!?? Aibu yenu.
  10. juctn Mt

    JamiiForums Tanzania Tutegemee nini kama hii picha ikimuonesha waziri mkuu na Lengai Ole Sabaya wakifanya mazungumzo ni ya kweli?

    Hata ukoo wako wote nao ni majambazi kama ulivyo wewe
  11. juctn Mt

    JamiiForums Tanzania Tutegemee nini kama hii picha ikimuonesha waziri mkuu na Lengai Ole Sabaya wakifanya mazungumzo ni ya kweli?

    Kamwe mwenye haki hawezia achwaa Sabaya ni bonge la kiongozi binafsi namkubali sana
  12. juctn Mt

    JamiiForums Tanzania Vijana wa Hayati Magufuli ndio pekee wenye uwezo wa kumpambania Rais Samia

    Mama anahitaji wasaidizi walionyooka na wazalendo wa kweli. Moja ya vijana mahiri na imara ni Lengai ole Sabaya.
  13. juctn Mt

    JamiiForums Tanzania Rais Samia endelea kufagia masamjo

    SABAYA NI MZALENDO NA MCHAPA KAZI
Back
Top Bottom