Mkuu umeandika vizuri ila navyojua mimi hata engine iwe off, brakes zipo sema unahitaji kuvumia nguvu kidogo wakati unazikanyaga.
Ukipark gari kwenye muinuko hand brake/ parking brakes ndo zinatakiwa kulifanya gari lako lisiserereke na sio gear ya parking, Hiyo ipo hapo kama assuarance kuwa gari...
Ni kweli mkuu, kilichosababisha tufike sawa ni speed yake ya juu aliyokua anatembelea.
Ila kiukweli jamaa akishuka tuta alikua ana accelerate haraka sana shida inakuja akifika 120 ndo mwisho wake na ndo sababu nilikua namkuta.
Hapana bosi wangu,
Ist haliwezi kukimbia kama prado.
Prado lina kila advantage, lakini kama dereva wa prado yuko slow kwenye kufanya maamuzi kama kuovertake na pia ni muoga kuvuka 120 basi hapo hilo prado litakua linakimbia kama ist
Kuna mdau alipost watu wakabisha.
Ila leo nimejihakikishia kwa baadhi ya barabara zetu za tz na madereva pia.
Prado linaweza kimbia kama ist.
Nilipata safari ya ghafla nikajikuta ndani ya babywalker, baada ya kuchakata rough ya picha ya ndege nikajikuta nyuma ya prado.
Aisee huyu mjamaa nimefika...
Mwisho wa siku kila mtu anaishi na alichonacho.
Kuna anayeenjoy kilometer nyingi town kwa mafuta hafifu,
kuna anayeenjoy kutembea kwenye makorongo kama yupo kwenye rami,
kuna anayeenjoy kupita kila gari akienda mkoa,
kuna anayeenjoy kuwa na gari la kipekee kwenye parking space,
kuna anayeenjoy...