Mpiga Kura sio Polisi. Piga kura rudi nyumbani vinginevyo utawataka ubaya wenye dhamana ya ulinzi na usalama kwa sababu kwa kusema unalinda kura utakuwa unavunja sheria. Take care.
Sasa simu kituoni za kazi gani? Sio lazima kupinga kila kitu. Kama uchaguzi mnashinda mtashinda na kama mnashindwa mtashindwa hata mkiingia na computer [emoji985] maana wananchi ndio wanaamua. Msilazimishe kuonekana kwamba mnaonewa kwenye kila jambo. Wakati kiukweli inaonekana upinzani maji yapo...
Hii lialia yenu sio bure. Design mmeshaona kabisa kwamba hamtoboi, hamtoboiiiii in Bwegez voiz, yani hamtoboi, sasa njia na option pekee mliyobaki nayo ni kujenga chuki, kuchochea vurugu, ila juzi nimemcheck mgombea wenu kule Nyamongo mabomu ya machozi tu alipoteana na walinzi wake. Fanyeni...
NEC can't be ashamed of baseless allegations leveled by such an idiot/a sellout, this guy is really betraying his country and we the people of Tanzania [emoji1241] will show him that we are not ready to be colonised once more.
Hawa jamaa mwaka huu watapoteana. 2015 almost majimbo yote Dar na Kilimanjaro walichukua wao lakini bado hawakuacha kuitukana Tume. Sasa 2020 naona hawana sera na ule upepo wa Mhe. Lowassa hauvumi tena, yani watapoteanaaaaa. Yeye atukane tu ila tarehe 28 Oktoba 2020 sio mbali wa tz wataamua.
Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imekuwa katika maanadalizi ya Uchaguzi Mkuu kwa kufanya mambo mbalimbali ikiwa ni pamoja na kurekebisha kanuni, uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura na kuandaa maadiili ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu.
Katika shughuli hizo na nyinginezo Tume...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.