Ni utaratbu uliyoandkwa katka kitabu gani?Ni utaratibu, vyama vyote vinatakiwa kuwa na hii taarifa
Nje ya mada, waambie NEC watoe majibuDah hawa jamaa punguani kweli kweli, si ndiyo hao walidai ujenzi wa bwawa la stigler haukufuata taratibu? Baada ya kushushiwa nondo haya wamekuja na mapya tena. Hivi mnadhani serikali ya awamu ya tano inabahatisha? Jiulizeni mlivyoumbuka corona na huu uchaguzi umewabua uchi wa mnyama, mmejulikana ni vibaraka wa wazungu mpaka mkakodisha mzungu awasemee, hakika mlishashindwa vibaya mno na historia ilishawahukumu kwa usaliti
Mkuu kama huna cha Kuchangia so ukae kwa kutulia,unajiaibisha sometimes. Au unawashwawashwa kama wastaafu?.Mnyika ameshindwa kila kitu mapema sana
Yeh,in that slang! Do you think that language is like mathematics? Panthentic go back to school.In broken English as such
Umeishia darasa la ngapi?Chama cha wasiwasi, kinaongozwa na wenye wasiwasi, kila siku wanaamka na wasiwasi na kuongea kwao ni wasiwasi na kila wanachokifanya wana wasiwasi nacho, sisi wananchi hatukutaki watatuletee wasiwasi.
Hapo sasa na usikute zimechapwa na mayanga construction and papers Ltd ambapo nafasi ya Lissu ukiweka wino unafutika baada ya nusu saa
Naona unajisahaulisha makusudi.Kama waliua mwanafunzi wa chuo Iringa, mwananchi wa kawaida Mbeya; na kule Pemba kupiga watu mapanga na kuchoma maskani za CCM hawashindwi kuhujumu uchaguzi kwa kuvamia kampuni inayochapisha, na kuiba karatasi, kuichoma moto, kuwatisha wafanyakazi, ama hata kuwahonga pesa
Chama cha wasiwasi, kinaongozwa na wenye wasiwasi, kila siku wanaamka na wasiwasi na kuongea kwao ni wasiwasi na kila wanachokifanya wana wasiwasi nacho, sisi wananchi hatukutaki watatuletee wasiwasi.
Ndio anachapa hizo karatasi?Mnyika ameshindwa kila kitu mapema sana