Recent content by Jua usiyoyajua

  1. J

    Januari Makamba: Kama kuna mtu anataka kutapika kwa sababu kina mama wa vijijini wamepata mitungi ya gesi, basi aende pembeni kutapika

    Nampongeza Waziri Makamba kwa jitihada hizi. Kila jambo lazima liwe na pa kuanzia. Hii ni hatua kubwa na muhimu.
  2. J

    Dawasa wanatupiga

    Wakati umefika sasa Dawasa nao watumie Mita kama za TANESCO.
  3. J

    Dawasa wanatupiga

    Dawasa ni wababaishaji sana. Wanatupa mabili yasiyo ya kweli. It’s shame.
  4. J

    Dawasa wanatupiga

    Dhuluma sana hawa. Tutamwambia Mh. Aweso.
  5. J

    Kauli ya Julius Malema kuhusu kifo cha Malkia Elizabeth inasikitisha na kuhuzunisha

    Kauli ya Malema imemuakilisha mwenyewe si waafrika wote. Freedom of expression.
  6. J

    CCM wanajua wawekezaji wataikimbia nchi baada ya Vodacom kutangaza hasara iliyotokana na tozo?

    When we make decisions especially that affects the economy of either individuals or investors in our Country, we must deeply involves the reliable economists to avoid reversing back the good moves/plans already taken by our lovely President Samia to push forward the development of our Nation.
  7. J

    Miaka mitano ya hayati Magufuli, bei za nafaka hazikupanda namna hii. Sasa zimepanda na wananchi wanakula mlo mmoja na nusu

    Tatizo la kupanda bei ya Chakula nchini ni uhaba wa mvua msimu uliopita. Hatupaswi kumlaumu yeyote.
  8. J

    Rais Samia amerithi nchi iliyofilisika kifedha na kiuchumi

    Mama Samia Suluhu, Raisi wetu nakupongeza kwa jitihada zote ulizozifanya kuifikisha nchi ilipo baada ya kuipokea nchi ikiwa imeyumba sana kiuchumi. Nina hakika jitihada na busara zako tutafika mahali bora zaidi na kila mmoja mwenye nia njema na Taifa hili atakubaliana na hili. Mungu aendelee...
  9. J

    Kura zikipigwa leo, hakika anarudi zake kisiwani

    Tutamchagua miaka mitano mingine. Tunamuombea baraka na maisha marefu.
  10. J

    Pamoja na magumu tunayopitia kwa Hangaya lakini ni bora Hangaya kuliko Mwendazake

    Kufikiria mfumuko wa bei ya Mahindi na Mpunga kumesababishwa na Mh. Raisi Samia ni ujinga uliopitiliza. Kilimo chetu kinategemea mvua na hazikunyesha vya kutosha mama anahusishwaje? Nampongeza mama kumruhusu mkulima auze mazao yake kwa a set aka na pia kupunguza bei ya mbolea. Watanzania kila...
  11. J

    Singida: Watu 6 wafariki kwa ajali ya gari

    Comrade Kinana asilaumiwe kila dereva akiwa na akili timamu anapaswa kutambua kuendesha gari bila ya tahadhari (reckless driving) kunauwa, hili halihitaji uangalizi wa Traffic.
Back
Top Bottom