Recent content by jshy

  1. J

    CHADEMA yashinda uchaguzi serikali ya kijiji Bumbuli

    MUNGU IBARIKI CHADEMA!!!!!! MUNGU TUBARIKI WAPENDA MABADILIKO NDANI YA NCHI YETU,TENA NCHI YETU WENYEWEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE!!!!!! PEOPLEEEEEEEEEEEEEEEEEEZ!!!!!!!!:rockon:
  2. J

    Kwanini Usiri mkubwa wa Mikataba kati ya Tanzania na China?

    Huyu aliyetuma uzi huu inawezekana kabisa ni walewale wanaopewa posho Lumumba! Nasadiki kusema hivo kwasababu,kama kweli ni mtanzania tena mzawa,asingekua na akili mgando kiasi hicho!!!! Kujua aina ya mkataba unaosainiwa na wawekezaji ni HAKI YA KILA MTANZANIA!!!! Hebu tuweni jasiri kama...
  3. J

    CHADEMA yakimbiwa na wasomi, Katibu CHASO ahamia CCM

    Vijana! Acheni kuhangikia matumbo yenu kwa pesa haramu wanazoporwa wavuja jasho wenzetu halafu mnapewa kama vijimisaada tu na hao Magamba. Tusidanganyike na Propaganda zao chafu walizozianzisha za kutaka kuchafua CDM yetu wana M4C! Tukataeni rushwa zao , wizi na upotoshaji wa Watanzani...
  4. J

    Ushoga wa wanaume, Aisee unaisha vizuri.

    Haya ndiyo matunda ya Mulugo msaidizi wa the Edn.Minister na shule zetu za Kata zisizo kidhi viwango vya ufundishaji!!!! Hii story mpaka uweke miguu kwenye maji zaidi ya masaa kadhaa ndo uielewe!!! Teh!teh! teh! Hiki ndicho kiswahili lugha ya Taifa letu:A S 114::A S 114::A S 114::A S...
  5. J

    Mtanzania: Dr. Slaa atajwa kumtuma Ben Saanane kummaliza Zitto

    Nadhan ccm wapo mochwari wakisubiri kaburi likamilike kuchimbwa ili wazikwe kabisa na tuhitimishe matanga 2015 ili sisi wapenda nchi CDM tushike hatamu bila bughudha maana wamezidi kutapatapa!!!!!
  6. J

    Kijana unapokuwa mwoga wa maisha na kuamua kuoa/kuolewa na kazi badala ya mme/mke bora

    :nono: kamwe vijana tusipende vya kutafutiwa! Tuweni na ujasiri wa kuthubutu na kujiamini katika nyanja zote na kufanya hivo, lazima tutafikia malengo!!!!
Back
Top Bottom