Naitwa Janeth Shawa miaka 29, ninatafuta mchumba mwenye mapenzi ya kweli umri kati ya miaka 29 mpaka 40 ambaye yupo tayari kuingia kwenye ndoa,Ambaye hana mke,akiwa na mtoto au watoto sio tatizo,Awe mtanzania,Sichagui Elimu,dini,rangi wala kabila,ambaye atakuwa tayari tuanzisha familia,awe...