Recent content by jsd

  1. jsd

    Nini hatma ya miradi ya Chato?

    Upande mwingine ni mjinga lakini ukiangalia mkoa wa Mara unagundua kidogo zilikuwemo akili viongozi wengi wamepita kule ila mpaka leoara ni kati ya mikoa maskini tz Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
  2. jsd

    Nini hatma ya miradi ya Chato?

    Aaaah yule mbeligiji Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
  3. jsd

    Tundu Lissu: Ni wakati wa kufungua ukurasa mpya kama Taifa

    Kwahiyo kumbe wote waliouawa miaka mitano hii ni yeye ndo kawaua??? Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
  4. jsd

    Tundu Lissu: Ni wakati wa kufungua ukurasa mpya kama Taifa

    Ni kweli na ni kawaida ya watu kupoteza kazi na kuuawa hamna ambayo watu hawauawi wala kupoteza kazi Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
  5. jsd

    Tundu Lissu: Ni wakati wa kufungua ukurasa mpya kama Taifa

    Alafu naona na wewe kuna jipu kwenye ubongo Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
  6. jsd

    Tundu Lissu: Ni wakati wa kufungua ukurasa mpya kama Taifa

    Kwan hata yeye angekuwa madarakani watu wasingepoteza kazi,wasingeuawa hayo mambo yapo tu hayakosi ya kaanza vizuri ila ametibua hapo kwamba miaka mitano watu wameuawa.... Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
  7. jsd

    Katibu Mkuu CHADEMA, John Mnyika: Wapi alipo Rais wetu?

    Sasa unamuuliza kwani raisi ni member wa jf Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
  8. jsd

    Katibu Mkuu CHADEMA, John Mnyika: Wapi alipo Rais wetu?

    Kweli hawajasema hayo maamuzi Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
  9. jsd

    Katibu Mkuu CHADEMA, John Mnyika: Wapi alipo Rais wetu?

    Yani kila kinachoongelewa hakina ushahidi wowote ni bora hvyo vyombo vya habar vikae kimya Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
  10. jsd

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa: Rais Magufuli ni mzima na anachapa kazi. Wanataka atoke, atoke aende wapi? Kariakoo au Magomeni?

    Rais haumwi ni mzima wa afya na anapiga kazi Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
  11. jsd

    Fahamu ukweli kuhusu kurefusha uume

    Dodoki mkodo??? Ndo nn kaka? Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
  12. jsd

    Fahamu ukweli kuhusu kurefusha uume

    Haha point hiyo kweli Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
  13. jsd

    Tatizo la Mabaka, Mba na Fungus (Fangasi) sugu na kuwashwa sehemu za siri kwa wanaume na wanawake- Fahamu chanzo, Dalili na Matibabu yake

    Nauliza kuhusu tatizo la fungus za sehemu za siri kwa wanume. Nini suluhisho lake? Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
  14. jsd

    Rais anapofia madarakani, utaratibu ni upi kwa sheria za nchi yetu?

    Kamanda wetu bado mzima Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
  15. jsd

    Suluhisho rahisi kwa wanaodhani wamepungukiwa na nguvu za kiume

    kitimoto mbona gharama. igundulike hata mchicha
Back
Top Bottom