Tatizo la Mabaka, Mba na Fungus (Fangasi) sugu na kuwashwa sehemu za siri kwa wanaume na wanawake- Fahamu chanzo, Dalili na Matibabu yake

Habari wapendwa na mimi nashida iyo kama mabaka nimetumia dawa hadi nimechoka naombeni msaada
IMG_1513.jpg

Naombeni msaada hapo
 
Umetumia dawa gani ndugu, nahisi na mm Nna huo ugonjwa kama wako. Nisaidie tafadhali
Wadau,

Napenda kutanguliza shukrani za dhati kwenu nyote nimepona ugonjwa wa fungus wa mwili niliokuwa nao kwa muda takribani miaka 12.

Nimetibiwa hospital ya masista Kawe unashukia kituo kinaitwa Kanisani kama ukipanda daladala.

Jaribu nawe kama una tatizo kama langu thanks so much JF
 
HABARI ZENU WAUNGWANA

JAMANI EH! NINA TATIZO NAOMBA SOMENI UZI WANGU MPAKA MWISHO NA MNISAIDIE NAOMBA MNISAIDIE TAFADHALI

NILIKUJA HAPA KUOMBA USHAURI MIEZI KADHAA NYUMA KWA TATIZO LANGU LA {FUNGUS} NILIPEWA USHAURI NA JIKAUFUATA VYEMA NA BAADHI YA VITU AMBAVYO NILIAMBIWA NITUMIE ILA BADO SIJAPONA NA TATIZO LIMEONGEZEKA,
NAOMBA NIELEZE VYEMA LEO NINAVYO SUMBULIWA ILI MWENYE KUNISAIDIA ANISAIDIE,

NI HIVI;
NINA FUNGUS AMBAO HAPO MWANZO WALIANZA KUTOA VIPELE VYENYE MAJI MAJI NA NIKAENDA KUCHOMA {POWERCEF} NIKAPONA, WAKARUDI TENA NIKATUMIA {AZUMA} NIKAPONA, WAKARUDI MARA YA TATU SASA HAPA VILITOKA VILENGELENGE NA SI CHUNUSI TENA, NIKAONA NIENDE HOSPITAL MAANA LIKAJA NA TATIZO JINGINE AMBAPO ILI NJIA YA MKOJO INACHOMA CHOMA NA MISHIPA YA UUME INAVUTA SI KAWAIDA, NILIVYO ENDA MWANANYAMALA NIKAFANYA VIPIMO VYOTE VYA ZINAA SIKU KUTWA NA TATIZO NIKAAMBIWA NIFANYE {CULTURE} PIA MAJIBU YAKAWA HAKUNA MDUDU ALIYEOTA NIKAPEWA TRANSIFER YA MUHIMBILI NAKO NIKAFANYA VIPIMO VIKUBWA NIKAAMBIWA HAKUNA TATIZO HIVYO NIKAPEWA DAWA ZA KUPAKA KWA AJILI YA {FUNGUS} NA YA LILE TATIZO LA KUVUTA NA KUCHOMA CHOMA KATIKA NJIA YA MKOJO NIKATUMIA SIKUPONA,

HHAPO SASA NDIO VIKAANZA KUTOKA VICHUNUSI NA VILENGELENGE KUNA DISPENSARY MOJA NIKAENDA KUCHOMA SINDANO YA {ALERGY} NA YA KUUWA VILE VIPELE HAIKU FANIKIWA NA HAPO NIKAANZA KUONA UCHAFU UNATOKA WA MFANO WA SHAHAWA NA NIKAANZA KUTOKA NA VIPELE MIKONONI AMBAVYO VINAWASHA SANA NA BAADAE HALI KURUDI KAMA KAWAIDA KATIKA SEHEMU ZA SIRI,

NANA SASA HIVI KORODANI ZINA WASHA, UUME WENYEWE UNA WASHA NA UNA VIPELE VIDOGO VIDOGO, MWILI MZIMA UNATOKA VIPELE KIMOJA KIMOJA VYENYE MAJIJI MAJI AMBAVYO UKIKUNA HUWASHA NA HUYOA MAJI MAJI NAWASHWAA JAMANI NAWASHWAA HASWAAAA NISAIDIE HILI TATIZO NIMEMALIZA HELA NYINGI NA NIMETUMIA DAWA NYINGI SANA ILA SIJAPONA

NAMBANAMBA ZANGU NI +255686978566 AU +255692224990
NAOMBENI MSAADA WENU
Uko kuwashwa asikwambie mtu... usiku mzma ni mkesha asubuh 12 ndo usingiz unakuja
 
Kuna hii fungus imenitesa Sana inawasha na inaninyima raha ipo sehemu za siri kwenye uume na korodani naombeni msaada nitumie dawa gani?

IMG_20210327_125804.jpg
 
Habari wakuu me nimekuwa nikisumbuliwa na tatizo la muwasho huu ni mwezi wa pili sasa mwanzo cjukua kama ni fangasi ila baada ya kupitia uziii huu nimeamin ni fangasi coz ikifika mida ya saa 12 naanza kuwashwa mapaja corodan na kwenye kichwa cha uume kuna toka vipele vyekundu na nikijikuna nasikia laha ila ndio baadae napata maumivu makari msaada plz kabla cjaanza kuchanganya madawa...na ajabu tumeugua wengi sana sehem hii ninayo ishi si mimi tu pekee angu.....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom