Recent content by jrsanga

  1. J

    Paul Makonda avamia Clouds Media na kuwatisha SHILAWADU

    Ngoma yenyewe hiyo hapo wakuu
  2. J

    Dawa inayodaiwa kutibu UKIMWI yagundulika nchini Israel

    Kumbe masuala ya kisiasa ndo yaliingilia utaalamu, ha ha ha dunia hii ina mambo makuu sana
  3. J

    Mke wangu amezalishwa na madaktari wadogo roho inaniuma

    Hapana mkuu hayo ni mawazo yako tu, lakini taaluma ya udaktari na uuguzi haijaanza leo ni historia ndefu sana na mwanzoni kabisa wakati medicine inaanzishwa kulikuwa na vitu kama hivo, kumbuka wale wanafanya kazi kwa kufuata miiko ya taaluma yao ambayo wewe hujafundishwa na pia huna
  4. J

    Dawa inayodaiwa kutibu UKIMWI yagundulika nchini Israel

    Taarifa kama hizo sio mara ya kwanza kuandikwa, lakini kinachokuwa tatizo ni kwamba katka ulimwengu wa sayansi ya majaribio ya dawa zinazohusu binadamu kuna stages nyingi sana mpaka dunia nzima ijidhihirishe ukweli au uhalisia wa ugunduzi huo, clinical trials ni tofauti na tafiti zingine za...
Back
Top Bottom