Recent content by Jr_peace9367

  1. Jr_peace9367

    Askofu Stephen Munga: Je, Musiba amekuwa Mfalme wa Wafalme, Bwana wa Mabwana?

    Soma ujumbe wake uelewe vizur,ajapinga mawazo ya msiba wala ajapinga msiba anayo ongea yupo nae sawa tatzo msiba ni nan yeye kuongea vile na kukashfu ad viongozi wastaafu iyo ndio shida Kuna vyombo vya kufanya ayo mambo lakin sio msiba ndio point yake ilipo ila ajapinga anayo sema msiba...
  2. Jr_peace9367

    January Makamba tutakukumbuka

    Tatzo n washauri wake ameonesha udhaifu mkubwa sana
  3. Jr_peace9367

    January Makamba tutakukumbuka

    Usaliti wake upo wap? Unayo evidence gan kuwa kasaliti?
  4. Jr_peace9367

    January Makamba tutakukumbuka

    Vibaraka wanajali maslai yao lakin ipo siku wote watajikuta sehem moja na wanateseka wote kama wakumbuka jiwe alienda gerezan akasema kwa kinywa chake yeye n mfungwa wa baadae analijua ilo na sio kuwa alikosea kusema anajua mwsho wake n wap
  5. Jr_peace9367

    January Makamba tutakukumbuka

    Siasa ni mchezo mchafu sana wenye weledi ndio wanoa teseka siku zote,mimi binafsi sijaona sababu ya makamba kutolewa sijaona mantiki ata kidogo ila naelewa kuwa nia na dhumuni ni kulinda maslai ya chama cha mapinduzi na sio wananchi Na kama bashe asinge ongea kuhusu maswala ya barua ya wazee...
  6. Jr_peace9367

    Mafanikio ya Rais Magufuli 2015 - 2021

    Tusipende kuishi kwa ushabiki kwan maendeleo upimwa kwa namna mtu anavyo ishi na sio namna serikali inavyo ona Oja yako namba moja ina mashiko ila sio elimu bora n elimu ilimrad watoto waende shule 2-ukiwa wasema kitu sema kwa fact 1.5T zipo wap police walio kamatwa na kuachiwa kuhusu...
  7. Jr_peace9367

    Bill Gates azidi kushushwa kwenye world's rich-list ranking...sasa ashika namba 3!

    Point over point,ni kwel kabisa sisi watu wa Africa tumeumbwa kulalamika na atuja kataa wanatoa misaada. Ila ile misaada wanayotoa sio kisa wao wanatupa sisi ayo magonjwa n uongo ile misaada inatoka kama mgongo wa kulipa kodi ndogo ndio maana unakuta matajiri weng wa nchi za wenzetu wanatoa ela...
Back
Top Bottom