Recent content by Jr

  1. J

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    haya ndio mafanikio tunayoyataka soka tunatandaza na mifweza inaongezeka
  2. J

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    mzuka unapanda ......mzuka unashuka,kwa kweli arsenal ni chama la ushindi kwa sasa na timu ovyo km bolton na wenzake,hao watakuwa wanagawa pointi kwetu. NATAMANI JANA NDIO INGEKUWA ARSENAL VS CHELSEA HALAFU NDIO WAWE PUNGUFU KIVILE YAANI TUNGEWAPIGA WIKI(7)
  3. J

    KISWAHILI: Naomba maana ya maneno haya...

    CHUNA kwa mtazamo wangu mi naona ni kutoa ngozi kutoka sehemu ya mnyama au kitu chochote kile ambacho kinaweza kuchunika. PILI kwa maana nyingine ni kumchunia mtu yaani kutoongea naye. MKWARA- ni kumtishia mtu kitu furani ili akuogope, mfano mzuri tu ni hivi karibuni wanamziki wetu hawa...
Back
Top Bottom